Mtoto Regnaldo Samweli Msuya (16) anatafutwa

Mtoto Regnaldo Samweli Msuya (16) anatafutwa

Blasio Kachuchu

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
366
Reaction score
243
MTOTO REGNALDO SAMWELI MSUYA MIAKA (16) anatafutwa, inadaiwa aliondoka nyumbani kwao 15/12/2024 hadi sasa hajulikani alipo.
Nyumbani kwao ni kinondoni mtaa mwananyamala kwa kopa, dar es salaam. Anasoma shule ya secondary makumbusho kidato cha tatu. Kwa yoyote atakaye muona tunaomba atoe taarifa kwenye kituo chochote cha polisi kilicho karibu.

Taarifa namba ya polisi ni mwj/rb/1893/2024 au kwa simu namba hii 0782 136333


 
Back
Top Bottom