PRECIOUSDOE
Senior Member
- Feb 3, 2009
- 114
- 12
- Thread starter
- #21
Ndugu yangu anafikiria kwamba huyu mtoto amekuwa akionyeshwa hawa wanaume wengine pia kama baba zake yani amekuwa mkora kama mamake.Kwa sasa ndugu yangu amekuwa akilewa tuu hata hasemezeki ,wacha atulie nimweleza mambo ya DNA