PRECIOUSDOE Senior Member Joined Feb 3, 2009 Posts 114 Reaction score 12 Jul 19, 2011 Thread starter #21 Ndugu yangu anafikiria kwamba huyu mtoto amekuwa akionyeshwa hawa wanaume wengine pia kama baba zake yani amekuwa mkora kama mamake.Kwa sasa ndugu yangu amekuwa akilewa tuu hata hasemezeki ,wacha atulie nimweleza mambo ya DNA
Ndugu yangu anafikiria kwamba huyu mtoto amekuwa akionyeshwa hawa wanaume wengine pia kama baba zake yani amekuwa mkora kama mamake.Kwa sasa ndugu yangu amekuwa akilewa tuu hata hasemezeki ,wacha atulie nimweleza mambo ya DNA