Annonymous
JF-Expert Member
- May 9, 2013
- 688
- 1,126
Tayari kumeanza kuchangamka kwa mwenzetu
Habari picha inajieleza
Tumpe ushauri tu mana story inajieleza
Edited for more view:
Hapo issue iko hv. Mshikaji wangu kazaa na mtoto mmoja wa elf2. Yule binti kaondoka na mtoto kwasababu anakatazwa kuwa anaenda kuomba mboga na vijuice juice kwa majilani (yaani baba mtu hataki tabia za uswahilini zile)
Eheeee unaanza kunielewa sasa
Sasa baba mtu amedai mtoto amejibiwa kuwa ataishi na mwanaye akifikisha umri wa kukaa na watu ila saivi bado. Sasa akauliza inamaana umejimilikisha mtoto yaani amemzaa mwenyewe kwahyo yeye baba hana mtoto hapo?
Ndo akajibiwa kuwa kama amemiss mtoto wake (anataka kumwona) aangalie picha za hyo mtoto alizonazo kwenye sm ila mtoto mwenyewe mama ameshaenda naye anakopajua yeye