Mtoto wa 2years na nusu anakalia mgongo.

Crystal field theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2014
Posts
940
Reaction score
401
Wakuu habari.. mtoto wa miaka miwili na nusu anakalia mgongo kulingana na changamoto za ukuaji anazopitia kama nilivowahi kueleza hapo awali.

Ombi langu wataalamu hasa physiotherapist hii hali itabadilika baadae ama laa maana bado hajaweza kusimamia'kutambaa Wala kutembea.😭

#Ahsanteni
 
Pole sana Kaka, ni vema pia ukawa unafahamu chanzo cha hilo tatizo ili kwanza fahamu zako zitulie na ziweze kuridhika na mapenzi ya Allah.

Pili usije ukawa unapoteza fedha nyingi, mawazo mengi na Muda mwingi ukashindwa kuhudumia wana familia wengine akiwemo na huyo mtoto.

Kama ulivyosema miaka miwili na nusu anapaswa kuwa amefikia hatua kadhaa za ukuwaji kama watoto wengine.

Inaonesha kabisa tangu uchanga wake alikuwa na changamoto kubwa kama kuchelewa kulia wakati anazalwa, maradhi mbambali mbali wakati ua uchanga wake.

Na wakati kwinginw hakuna sababu kabisa ya wazi inayoonekana kwa macho ila ni sababu za kigenetics.

Wengine wanazaliwa na shida za Ubongo, mishipa ya fahamu, Misuli na Mifupa pia.

Ushauri utakao upata kutoka kwa Madaktari wa Ubongo ja fahamu( Neurology) basi ushike huo.

Yes, Physio can improve alot, but sometimes can achieve nothing.
 
Alichelewa kulia mkuu.. AHSANTE mkuu kwa ushauri.
 
Back
Top Bottom