Mtoto wa 50 Cent apiga $700,000

Mtoto wa 50 Cent apiga $700,000

50 was raised from ghetto and make his own fortune.. I admire him for that although Didy and Jay are richer than him..

Diddy isn't an inspiration at all, kwanza karithi tu from Bad Boyz ya BIG na hiyo Ciroc basi.. 50 Cent ndio inspiration kwa vijana wengi wa hood pale New York

Mbona husemi 50 Cent bila Eminem angekuwa kitaa anaendelea kuuza madawa? Kurithi si tatizo, ishu ni kumaintain, wangapi wanarithi mali kibao but still wanafirisika? Diddy habari nyingine, kimziki sio mkali kivile kama 50 or Jayz but kwenye suala la kusaka doo hapo humuwez, Jigga mwenyewe anakalishwa
 
Halafu nikurekebishe, BadBoys haikuwa ya BIG, Badboys ni ya Diddy since day 1. BIG alisainiwa na Diddy, bila Diddy pengine tusingemjua BIG Steph Curry
 
Last edited by a moderator:
Mbona husemi 50 Cent bila Eminem angekuwa kitaa anaendelea kuuza madawa? Kurithi si tatizo, ishu ni kumaintain, wangapi wanarithi mali kibao but still wanafirisika? Diddy habari nyingine, kimziki sio mkali kivile kama 50 or Jayz but kwenye suala la kusaka doo hapo humuwez, Jigga mwenyewe anakalishwa

BIG ndie alifanya Bad Boy akatambulika duniani.. Ni kama alikuwa anatumika kumtajirisha Diddy..

Kama unavyowaona akina Weezy, Nicki, Drake wanavyompa mikwanja Birdman..

50 Cent katoka hood, akarecord under Eminem na Dree akatumia pesa yake kuwasaidia wenzake aliokuwa nao Hood akina Banks na Tony Yayo.. In business abilities and negotiations 50 is way far from Diddy.. Kitu kilichomwinua Diddy ni Ciroc pekee in other perspectives huwa hafanyi poa kihivyo.. And note that Diddy started it 1993 lakini 50 kaibuka in early 2000's. And to make myself clear sisemi kwamba Diddy hawezi..
 
Diddy kamtoa BiG mtaani akamfanya awe star muheshimu aisee, ni kama ukishindwa kumpa credit Fella kwa kuwatoa Yamoto Band. 50 hakutoka mwenyewe, alisaidiwa na Eminem kutoka kama yeye alivyokuja kuwasaidia wakina Tony Yayo baada ya kutoka. Kuna kipindi 50 Cent aliongoza kwenye list ya wanahiphop wenye utajiri mkubwa pindi alipokuwa juu sana kimuziki akiwakalisha Diddy na Jigga, kama angekuwa ana akili za kumaintain pesa angeendelea kuwa level za hao jamaa au kuwazidi, cha ajabu utajiri wa 50 Cent ni $140 M huku Diddy ana $ 700 M na Jigga $ 650 M, so 50 ni mtoto sana kwa hao, labda umlinganishe na Lil Wayne or Kanye West
 
Between 2008-2010 50 aliuza Vitamins water kwa Coca cola na akapiga $400M.. Hizo zote zimeenda wapi kwa muda mfupi tu huu?? Majuzi tu kasign deal na Frigo la $75M ina maana alikuwa na $70M pekee?? Hapo hatujaongelea deal la Effen Vodca, Haujaongelea Filamu yake ya POWER.. Sio kila kitu kinachoandikwa na Forbes ni ukweli mkuu..

Hata hapa Bongo wanamu estimate Dewji as richer than Bahressa and Mengi.. wakati last year Dewji walimuestimate $500M mwaka huu eti nearly $2B alafu akina Bahressa na Mengi bado wako around $600M
 
kwahiyo unataka kusema Forbes wamekosea kuestimate mali za 50 Cent? Kama ndivyo unazan 50 angekaa kimya na unavyojua 50 alivyo muongeaji?
 
Sasa mkuu aongee ili iweje?? Lakini mkuu kwa akili ndogo tu, mwaka 2013 walimuestimate ana $260M then mwaka jana akadrop mpaka $140M.. Unaamini hiyo kitu?? Mwaka jana pekee, kauza sana Ear phones zake za SMS Audio iweje adrop sasa?? Disney wamesign deal na SMS Audio hivi majuzi lakini akakataa kutaja ni bei gani wamemlipa, nadhani unajua reputation ya Disney vizuri.. Lakini pia kwenye nyimbo mpya ya G-Unit after Re-union kuna verse anasema "ana more than $100M in cash" wachilia mbali asset zake..

Lakini pia kama anaamini Dewji wamemu overestimate kwanini pia usifikiri Diddy na Jay wamewaoverestimate pia?? Anyway let's end this conversation maana tutaonekana vichaa kujadili utajiri wa watu.. I was just talking about his business capabilities na nilisha acknowledge that Diddy and Jay are richer than HIM..
 
Mtoto mzuri kwelii hebu wekeni picha ya mama yake
Kwani 50 ana watoto wangapii????
 
50 was raised from ghetto and make his own fortune.. I admire him for that although Didy and Jay are richer than him..

Diddy isn't an inspiration at all, kwanza karithi tu from Bad Boyz ya BIG na hiyo Ciroc basi.. 50 Cent ndio inspiration kwa vijana wengi wa hood pale New York

My dear kurithi tu hakutoshi ni akili ya kusimamia na kuendeleza vilivyoachwa.Never the less Jayz is a more of a ghetto child than 50 cents and he started stuggling waaayyyy back when hiphop haikua inapendwa Marekani na Ulaya.Achilia mbali kupigwa vita na wazungu.Hawa kusustain compe na racism is a big thing.50 cents amenza kuimba juzi watu wanauza miziki itunes na mitandao mingine,na je Forbes list ya utajiri wa wao inasemaje.?
 
Diddy karithi bad boys????
 
Mtoto mzuri kwelii hebu wekeni picha ya mama yake
Kwani 50 ana watoto wangapii????

Mtoto mzuri kwelikweli.Ila ukimuangalia anafanana na baba yake japo nahisi kachukua ngozi ya mama yake maana 50 ni black haswaa.
 
umenifanya nikasikilize huo wimbo "have a baby by me" Stephencurry
 
Last edited by a moderator:
Mtoto mzuri kwelii hebu wekeni picha ya mama yake
Kwani 50 ana watoto wangapii????

daphne-joy-50-cent-4.jpgmodel-daphne-joy3.jpg
 
My dear kurithi tu hakutoshi ni akili ya kusimamia na kuendeleza vilivyoachwa.Never the less Jayz is a more of a ghetto child than 50 cents and he started stuggling waaayyyy back when hiphop haikua inapendwa Marekani na Ulaya.Achilia mbali kupigwa vita na wazungu.Hawa kusustain compe na racism is a big thing.50 cents amenza kuimba juzi watu wanauza miziki itunes na mitandao mingine,na je Forbes list ya utajiri wa wao inasemaje.?

Hilo la Forbes nimeshaliongelea huko juu.. By the way, 50 Cent Audio Company SMS Audio is teamed up with Disney na ndio Official Headphones za Disney.. Zinafanya vizuri sana sokoni sasa na wakati wowote Disney wanaweza nunua the whole Company. Count him in a league with Dre baada ya kuuza beats.. Hapo bado ana deals na Frigo, Effen na filamu yake ya Power inatoka season 2 kuanzia June..

Lakini lengo la hii post halikuwa kufananisha utajiri wao, ila how smart the person is, I prefer 50's mind than Diddy and Jay.. Jamaa anasaidia sana hata kuliko hao akina Diddy na Jay, lakini pia he's smart in spendings. Hukuti ananunua tu magari ovyo. Nilimsikia akisema ananunua gari pale ambapo amefanya deal ambalo limemuingizia Million bucks..

Ona hapa anatembea na Lambo ya kawaida kabisa, Open tena New York.. hana wasiwasi, He is a King there.. teh teh
<strong><span style="font-family:comic sans ms;">
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom