the american dream
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 1,755
- 835
Mi nadhani with all due respect how a rich man spends his money ni juu yake maana saa anatafta ilikua juu yake.You seem to know more about 50cents,try to learn the rest.Na leo naona list Pdidy is almost $700m net worth,Jayz almost $500 na 50cents ni level za kina Birdman $150m.Huoni hapo unamfananisha Manji na Alhaji Dangote?Hilo la Forbes nimeshaliongelea huko juu.. By the way, 50 Cent Audio Company SMS Audio is teamed up with Disney na ndio Official Headphones za Disney.. Zinafanya vizuri sana sokoni sasa na wakati wowote Disney wanaweza nunua the whole Company. Count him in a league with Dre baada ya kuuza beats.. Hapo bado ana deals na Frigo, Effen na filamu yake ya Power inatoka season 2 kuanzia June..
Lakini lengo la hii post halikuwa kufananisha utajiri wao, ila how smart the person is, I prefer 50's mind than Diddy and Jay.. Jamaa anasaidia sana hata kuliko hao akina Diddy na Jay, lakini pia he's smart in spendings. Hukuti ananunua tu magari ovyo. Nilimsikia akisema ananunua gari pale ambapo amefanya deal ambalo limemuingizia Million bucks..
Ona hapa anatembea na Lambo ya kawaida kabisa, Open tena New York.. hana wasiwasi, He is a King there.. teh teh
<strong><span style="font-family:comic sans ms;">
Mi nadhani with all due respect how a rich man spends his money ni juu yake maana saa anatafta ilikua juu yake.You seem to know more about 50cents,try to learn the rest.Na leo naona list Pdidy is almost $700m net worth,Jayz almost $500 na 50cents ni level za kina Birdman $150m.Huoni hapo unamfananisha Manji na Alhaji Dangote?