Kichwa Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,726
- 314
inawezekanahao nadhani walikuwa mapacha wawili ambao wameshindwa kugawanyika.
hao nadhani walikuwa mapacha wawili ambao wameshindwa kugawanyika.
walikuwa hawajagawanyika mpaka mwisho. kwa uzito wa kilo ni kielelezo kuwa hiyo mimba imetoka, au kulikuwa na tatizo hawakuweza kugawanyika mpaka mwishoKwa hiyo ndo sehemu za siri pekee zikagawanyika au?
hao nadhani walikuwa mapacha wawili ambao wameshindwa kugawanyika.
pia wameomba msaada ili waweze kupata matibabu ya mwanao.Mabadiriko tabia nchi KATIKA MWILI! Tuwape pole wazazi.
Mtoto wa ajabu amezaliwa katika mji wa songea ambapo sehemu za siri zipo kichwani na zingine zipo kule zinako stahili kuwepo na anauzito wa kilo moja na nusu.
source Channel ten
Nini kinasababisha mtoto kuzaliwa tofauti (abnormal)?
karibuni
OMG... :wacko:View attachment 52900mtoto mwenyewe ndo huyo,,,,,tuwe makini na matumizi ya dawa hasa miezi mitatu ya mwanzo (first trimester) huwa inasababisha sana matatizo kama haya.