Mtoto wa ajabu; sehemu za sri zipo Kichwani

Mtoto wa ajabu; sehemu za sri zipo Kichwani

Kichwa Ngumu

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
1,726
Reaction score
314
Mtoto wa ajabu amezaliwa katika mji wa songea ambapo sehemu za siri zipo kichwani na zingine zipo kule zinako stahili kuwepo na anauzito wa kilo moja na nusu.
source Channel ten

Nini kinasababisha mtoto kuzaliwa tofauti (abnormal)?
karibuni
 
Mtoto wa ajabu amezaliwa katika mji wa songea ambapo sehemu za siri zipo kichwani na zingine zipo kule zinako stahili kuwepo na anauzito wa kilo moja na nusu.
source Channel ten

Nini kinasababisha mtoto kuzaliwa tofauti (abnormal)?
karibuni

Aisee hiyo kitu si mchezo, sasa akiwa mkubwa itakuaje kuhusu yake mambo ya ku Do? Jamani wenye uwezo wajitolee plz, ni very serious vyenginevyo mtoto atakuja kuharibika kisaikolojia na akose haki zake
 
MTOTO WA AJABU MWISHO.JPGmtoto mwenyewe ndo huyo,,,,,tuwe makini na matumizi ya dawa hasa miezi mitatu ya mwanzo (first trimester) huwa inasababisha sana matatizo kama haya.
 
poleni sana wanafamilia kwa hilo najua huenda ni matatizo ya mabadiliko.au mama mzazi alikuwa anatumia dawa aina ya flagile.mana nayo sio dawa nzuri kwa wajawazito:bounce:😛layball:
 
Eee Mungu tusaidie maana tunajibebea mimba hatujui tunakitu gani tumboni,this is more than we think mungu awatie nguvu
 
kwa kuangalia hiyo picha hana sehemu za sri kichwani. ni mambo ya watanzania kuwaza sana chini ya kitovu. huyu mtoto utosi haujaafunga, kwa kumuangalia hta kifua moyo wake pia ni tatizo. nafikiri ni tatizo la mutation hapa. kupona sigarantii. mungu saidia hii familiya katika mazingira haya magumu
 
mambo haya sababu kubwa ni disoders katika mfumo wa chromosomes zinaposhindwa kugawanyika ipasavyo au ziligawanyika vizuri lakini katika hatua nyingine za mwanzo kabisa za ukuaji cell zinazo husika zimeshindwa kugawanyika ipasavyo. nawapa pole sana wazazi hawa.

kitu kingine wazazi wanaombwa kutotumia dawa mbalimbali wakati wakiwa na ujauzito mchanga bila ushauri wa dactari
mwisho umri mkubwa wakati wa kuzaa unaweze pia kusababaisha matatizo kama haya.
 
Back
Top Bottom