Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Watalipa Tu HAKUNA namna Tena!Samia amehamishia TISS kwenye mamlaka yake moja kwa moja.
Damu za waliouawa na vyombo vilivyopo chini yake itatakwa mikononi mwake.
Hawezi kuzuia gadhabu ya Mungu dhidi yake na wahusika wote.
Tunajua TISS imejaa ruthless killers. Lakini siyo robots ni watu na watalipia hapahapa
Rest assured karma will do the needful.
Ukiwaumiza watu tegemea kuumia.
Tatizo tunasahau mapema.
AmiiinMUNGU ATASIMAMA NA HAKI ITATENDEKA
ItabidiWazee wa Tanga plz plz plz ebu toeni funzo kwa hao wahuni.
Imebidi nikitafute kisa chake kuna watu makatiliCCM wanasahau mapema , Mauwaji aliyoyafanya Karume Sr na genge lake mwisho wao ulikuwa mfupi tu . Mungu alianza kumwondosha Karume na wengine wakaanza kupuputika kama majani makavu.
Walikuwepo akina Rashidi Abdalla Mamba mwisho wake akila kinyesi chake. Huo ndio mwisho wa kudhulumu.
Mungu hadhihakiwi hakuna aliyejiumba sote katuumba yeye .
Kuna story moja nitawapa baadae, Watu WA Tanga damu zao huwa hazipotei
Nakumbuka kauli ya aliesema “kuna mbwa wanabwekea uchumi wetu”
Hivyo vitu havijawahi kufanya kazi.Al badri, uchawi, mazingaombwe, uganga, uchawi, dua, sala kama inafanya kazi hapa ndiyo mahala pake sasa.