Mtoto wa Ali Kibao: Kama damu ya baba iliyomwagwa kikatili itakuwa chanzo cha majibu na mabadiliko basi atakuwa shujaa maradufu

Samia amehamishia TISS kwenye mamlaka yake moja kwa moja.

Damu za waliouawa na vyombo vilivyopo chini yake itatakwa mikononi mwake.

Hawezi kuzuia gadhabu ya Mungu dhidi yake na wahusika wote.

Tunajua TISS imejaa ruthless killers. Lakini siyo robots ni watu na watalipia hapahapa
Watalipa Tu HAKUNA namna Tena!
 
Rest assured karma will do the needful.
Ukiwaumiza watu tegemea kuumia.
Tatizo tunasahau mapema.

CCM wanasahau mapema , Mauwaji aliyoyafanya Karume Sr na genge lake mwisho wao ulikuwa mfupi tu . Mungu alianza kumwondosha Karume na wengine wakaanza kupuputika kama majani makavu.

Walikuwepo akina Rashidi Abdalla Mamba mwisho wake akila kinyesi chake. Huo ndio mwisho wa kudhulumu.

Mungu hadhihakiwi hakuna aliyejiumba sote katuumba yeye .
 
Imebidi nikitafute kisa chake kuna watu makatili

View: https://youtu.be/rN-o2M_SlFc?si=hrk7ky9g_uMGcAZ6
 
Back
Top Bottom