Mtoto wa Aunty azua zengwe, hafanani na Moze Iyobo

Mtoto wa Aunty azua zengwe, hafanani na Moze Iyobo

Mwenzangu watu na mioyo yao, mimi akaaah siwezi hayo mambo ndio maana hata baby wa mimi ni mwanaume mwenye heshima zake.
Siwezi kuvumilia nina wivu balaa.

Mhhh samahani naona kama mnaingilia sana mambo binafsi si muende PM. Natanguliza samahani
 
Cookie centrebolt !hakuna ubantu hapo kazi kwelikweli.
 
Faraja ana shida gani ya kumganda huyo mwanaume? Labda kama anampenda kiukweli maana wanawake na sisi tuna ujinga fulani wa kupofushwa na mahaba.
Lakini niliwahi kusikia tetesi kua mambo sio mambo hawako pamoja lakini sijafuatilia hilo.
Nasikia mwanaume anahaha kumtuliza Faraja asiombe talaka maana si unajua mzee anataka kutangaza nia? Bila ndoa itakuwaje?
Ataonekana kua hawezi kuongoza maana kama ndoa imemshinda nchi ataiweza?

huyo faraja ubavu wa kuomba talaka hana...!
mjini hapa trust me..
 
Kwa mila za kiafrika baba ndo mara nyingi humpa jina mtoto!
Hapa tumeliwa kekundu.
Huyo Iyobo ni mercenary!
 
Hili jukwaa napitaga kama msomaji tu ila napata inspiration ya kuwa gossip na mimi kwa mbaaaaali, najua siwez fikia viwango vya akina warumi na wenzako lakin mdogo mdogo naweza kufika, haya twende sawa...!!!
 
Last edited by a moderator:
jina la baba ndo hilo lapri kwanza ni nini maana ake na ikiwa baba anaitwa mose iyobo imekuaje aitwe cookie lapri ha ha ha h a ni shida aseee
Mtoto ana baba wengi huyo ,hapo ametoa jina la kidiplomasia ili mababa wasikwazwe!
 
Tumpe muda jamani itajulikana tu, bado ni mapema mno kujaji
 
Back
Top Bottom