Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Atajijua mwenyewe bwana, sio mtoto yule asiyejua zuri au baya.
Mahaba Niue ati.
Moze ukute ni baba mlezi tu mtoto wa Jemba lingine huko loh!
Mwenzangu watu na mioyo yao, mimi akaaah siwezi hayo mambo ndio maana hata baby wa mimi ni mwanaume mwenye heshima zake.
Siwezi kuvumilia nina wivu balaa.
Faraja ana shida gani ya kumganda huyo mwanaume? Labda kama anampenda kiukweli maana wanawake na sisi tuna ujinga fulani wa kupofushwa na mahaba.
Lakini niliwahi kusikia tetesi kua mambo sio mambo hawako pamoja lakini sijafuatilia hilo.
Nasikia mwanaume anahaha kumtuliza Faraja asiombe talaka maana si unajua mzee anataka kutangaza nia? Bila ndoa itakuwaje?
Ataonekana kua hawezi kuongoza maana kama ndoa imemshinda nchi ataiweza?
Antie lazima tu atampiga picha amweke mitandaoni kama alipiga ya tumbo sembuse ya mtoto.
Nitakufa nimekufa kishujaa na mm kwenye sekta ya umbea, nataka niache historia, mbea mzalendo kuwahi kutokea east africa
ha ha ha nmmhwakishafana...?!!hao waandishi wao wanafanana na baba zao?
ha ha ha nmmh
lapri centre au la princessa?
aunt alishawaambia mbona ye hajawauliza baba zao ni kina nani ha ha hahawa waandishi makanjanja tuwanaudhi kweli baas tu
Mtoto ana baba wengi huyo ,hapo ametoa jina la kidiplomasia ili mababa wasikwazwe!jina la baba ndo hilo lapri kwanza ni nini maana ake na ikiwa baba anaitwa mose iyobo imekuaje aitwe cookie lapri ha ha ha h a ni shida aseee
Mtoto ana baba wengi huyo ,hapo ametoa jina la kidiplomasia ili mababa wasikwazwe!