poa nakuja saiv madame we bwaga limoyo lako2,namalizia kunywa supu ya pweza,na juisi ya tikiti,c unajua tna madam ila ucje kunikimbia!
ha ha ha ha ha hahahaaa........nilikumis shosti angu.........
uwepo wako hum ni wa maana sana!!!!!!
huyo ndo naaakili sasa anajua nini mana ya utajili sio kujishowUkija katika masuala ya utajiri namuheshimu sana Buffet,mpaka leo hajanunua mobile phone.
ha ha ha ha ha ha
ha ha ha ha ha ha
kinachokuchekesha!!!!!!!!!!!
Nani akukimbie!
Mie Rijali wa kike.
Afu kama sikosei wewe ni Mkurya au Msukuma...bisha.
mi mnyamwez,we mnyiramba nn maana km nakuona vile ulvo!
Nani Mnyiramba hapa!
Mie Pure toto la TA, yalikozaliwa mapenzi.
ndo maana una maneno matam na bashasha nyingnying...unantoaga udenda km simba mwenye njaa kali!
katika mapimbi wewe rais wao!..pesa yake matumizi!wewe kwa akili zako za kidwanzi ndo unahisi ni show off!ukiwa na mzigo wa maana lazma utumie vitu vya maana vinavyoenda sambamba na goto lakohuyo ndo naaakili sasa anajua nini mana ya utajili sio kujishow
[/QUOTE]Wadau JF, naombeni contacts zake jamani.
Kama mtu ana simu namba yake, au address ya ofisini kwake.
Tafadhali wajameni!
TE=KakaKiiza;7523558]View attachment 115838View attachment 115839View attachment 115840View attachment 115841View attachment 115842View attachment 115843View attachment 115844
Mtoto wa Baakhresa Kaleta gari special edition yenye thamani ya us 500,000/ sasa sijui kuna ukweli juu ya hili??
Source:BongoClan : TAZAMA PICHA ZA GARI LA SH. MILIONI 805 LINALOMILIKIWA NA MTOTO WA BAKHRESA AMBALO LIMEKUJA KWA ODA MAALUM..!!
Wa nini mie na kibajaji chake?
Sababu ya gari tu ndo nizuzuke.
Mie Maskini Jeuri Bhana.
Akija anatolewa nje vilevile, amuulize muheshimiwa nanilii...
Penzi, penzi na Pesa kwenu.
amuulize martin shigela wa katibu wa zamano wa uvccm sio Madame B
Sijui ni ulofa labda, mbona kama halinishawishi?
ndo maana una maneno matam na bashasha nyingnying...unantoaga udenda km simba mwenye njaa kali!
We una genye mkuu maneno meeengi huna lolote, genye tu hizo