Mtoto wa Bakhressa noma, gari $500,000

Mtoto wa Bakhressa noma, gari $500,000

poa nakuja saiv madame we bwaga limoyo lako2,namalizia kunywa supu ya pweza,na juisi ya tikiti,c unajua tna madam ila ucje kunikimbia!

Nani akukimbie!
Mie Rijali wa kike.
Afu kama sikosei wewe ni Mkurya au Msukuma...bisha.
 
Aiseee kazi kweli kweli aiseee. Nilipishana nalo juzi kumbe ni yy. Aaah hata mm nitaagiza kama hilo.
 
huyo ndo naaakili sasa anajua nini mana ya utajili sio kujishow
katika mapimbi wewe rais wao!..pesa yake matumizi!wewe kwa akili zako za kidwanzi ndo unahisi ni show off!ukiwa na mzigo wa maana lazma utumie vitu vya maana vinavyoenda sambamba na goto lako
 
Wadau JF, naombeni contacts zake jamani.
Kama mtu ana simu namba yake, au address ya ofisini kwake.
Tafadhali wajameni!



TE=KakaKiiza;7523558]View attachment 115838View attachment 115839View attachment 115840View attachment 115841View attachment 115842View attachment 115843View attachment 115844
Mtoto wa Baakhresa Kaleta gari special edition yenye thamani ya us 500,000/ sasa sijui kuna ukweli juu ya hili??

Source:BongoClan™ : TAZAMA PICHA ZA GARI LA SH. MILIONI 805 LINALOMILIKIWA NA MTOTO WA BAKHRESA AMBALO LIMEKUJA KWA ODA MAALUM..!!
[/QUOTE]

Unaþaka contacts za mume wangu zikusaidie nini?
 
Wa nini mie na kibajaji chake?
Sababu ya gari tu ndo nizuzuke.
Mie Maskini Jeuri Bhana.
Akija anatolewa nje vilevile, amuulize muheshimiwa nanilii...
Penzi, penzi na Pesa kwenu.

amuulize martin shigela wa katibu wa zamano wa uvccm sio Madame B
 
Last edited by a moderator:
Sijui ni ulofa labda, mbona kama halinishawishi?
 
Sijui ni ulofa labda, mbona kama halinishawishi?

Unajuwa zamani ilikuwa ukishika lisimu likubwa ulikuwa unaonekana mchovu na wakuja tu.

Je waonaje sasa? Wenye visimu vidogo wanaheshimika tena?

Tafuta manual ya hiyo gari au google ndio utajuwa nini maana ya $ 500, 000/=
 
We una genye mkuu maneno meeengi huna lolote, genye tu hizo

hahahaha...,cna genye mkuu,nimecheua zuguzi juzi juzi2...,afu mi na madame dukinaa..,dangachee.,ngoja aje akuthibitshie!
 
Back
Top Bottom