Starehe Kitandani
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 676
- 342
Kama hii nchi ni ya kisultani tutajua tu! 25/10/2015 ndiyo msema kweli!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani CCM kuna waelewa!? Wao wakipewa shirt na kofia bila chupi utayasikia; CCM ni ile ileeeee....ni ileileeeeee.
una undugu na mdau humu anaitwa GENTAMYCINE mkuu au mmefanana mwandiko?
wanaulanga msikubali hilo sio jimbo la kifalme. Ina maana ulanga yote haina msomi au mtu yeyote aliyemaliza form 4 au anayejua kusoma na kuandika?
Msikubali, msikubali hii ni fedheha. Haiwezekani hata angekuwa ukawa, hamna kukubali bora mkose mwakilishi sio ubunge wa kifalme.
Hilo ni jiwe la kwenye Giza ..
That is an open secret ... Huko Kwao na Ndugu za marehemu ndio walalalamika chini chini ...waambieni waache kulalamika
tatizo sio kugombea hebu tuambie alishiriki kura za maoni? na kama alishiriki alishika nafasi ya ngapi? ukinijibu tutaenda sawa ukishindwa utakua mmoja wao unaesubiri baba afe chama kikupe fadhila
Kombani hajastaafu, amefariki!
Mtoto wa aliyekuwa mgombea wa ubunge jimbo la Ulanga marehemu Celine Kombani ameshinda kura ya maoni ndani ya chama chake CCM hivyo kumrithi mama yake kugombea ubunge kupitia chama chake CCM.
===============================
Chanzo: Mtembezi