Mtoto wa Charles Kimei afunga ndoa Jijini Dar. Kweli mjini pesa shikamoo kelele

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bila shaka ulitamani uolewe katika hio familia

Tatizo Sean sio mchaga

Hahahahah
 
Bila shaka ulitamani uolewe katika hio familia

Tatizo Sean sio mchaga

Hahahahah

Bila shaka hujapata kumfahamu Kasie.
Wakati niko mschana miaka hiyoo ndo nimemaliza chuo, kuna kijana mmoja wa kichaga alinipenda sana (rejea uzi wa kwa nini wanaume wa kanda ya kaskazini wamekuwa sehemu kubwa ya mahusiano yangu). Huyu alikuwa mtafutaji mnoo aliijua hela tangu yuko chuo, hakutokea kwenye familia yenye hela ila alizitengeneza hela zake mwenyewe. Alikuwa na nyumba tayari, usafiri ndo alikuwa ameagiza, alinitambulisha hadi kwa mama yake mzazi na alikuwa anataka kunioa. Tangu siku ya kwanza aliniambia anataka mahusiano ya uchumba na si ugelofrendi na uboifrendi, ila sikumpenda na nikasema nikikubali kuolewa nae ntam chiti na ndoa haitakuwa na amani. Siku namwambia mimi siwezi kuwa na wewe,alilia hadi kamasi zikamtoka ila hata sikuwa na huruma sababu sikuwaza maumivu yake ya wakati huo, niliwaza ya baadae. Na aliumia sana maana nilikuwa nahimili mishindo yake.....

With Kasie, It's not about wachaga it's not about money...

It's about soul, passion and love...

It's all about Dadii as he is the package I treasure.

Mmmuuuahh to Dadiii.

Matata K.
 
Mimi Kimeo simpendi kwa legacy yake ya ukabila pale crdb. Kuajiri 80% ya wafanyakazi kutoka kaskazini kwenye nchi yenye makabila zaidi ya 120 hana cha kumpongeza.
Hzo lawama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…