Hivi lini ignorance itaisha miongoni mwetu sisi watanzania? Mwenye hii comment unaonekana una kila dalili ya chuki na ukabila, yeyote anaetukuza ukabila na kufanya justification juu ya hilo hasa kwenye hadhara kama hapa hatufai Kwenye jamii.
Uchapakazi, weledi, juhudi na kiu ya maendeleo haina ukabila,dini, rangi au vyovyote vile, bali hii hutokana na silika, kariba, uthubutu na kujituma kwa mtu mwenyewe, anaweza kuwa unatoka kabila lolote lile, au dini yeyote ile nk. Na pia kinyume chake, wapo wachaga walevi na masikini pia, lakini pia wapo wachaga wavivu, na hii ina kuwa applied kwa makabila, dini, na watu wa aina zote.
Mimi sitetei uvivu wa jamii fulani bali natetea utanzania na uhalisia wa mambo yalivyo. Nakushangaa mtoa post unapodhihaki jamii ya watu wa pwani hasa ukiwalenga wazaramo ( "wacheza mdundiko") kuwa ni wavivu wakti kuna waziri ni mzaliwa wa Uzaramuni kabisa Kwala-Samvula Chole (Jaffo Seleiman) anaongoza wizara yake kwa weledi wa hali ya juu kbs pengine kuliko hata baadhi ya mawaziri wengine wanaotoka bara, au kaskazini nk.
CRDB kuna wachaga wengi, kama watu wanavyodai, Yes, inawezekana kutokana na sababu fln fln, lkn uchaga wao siyo uliowapeleka pale, bali walikidhi vigezo. Mtu wa kundi fln anaenda ngomani, Yes, tumthamini pia, kwani ana play part fln mhm kwenye kutunza na kuthamini mila, desturi na tamaduni zetu. La muhimu zaidi yatupasa kujua ni kuwa, maisha lazima yawe balanced, hatuwezi wote kuwa tunafanana kwa kila kitu.
Hitimisho langu ni kwamba, tuwe na deal na mtu kama mtu juu ya uweledi au udhaifu wake, na siyo kufanya mambo ya ku generalize kuhusisha makabila, nk.
Adios!
Hongereni wachaga kwa kuikuza bank ya CRDB. Ulitaka aajiri wacheza mdundiko? Unapotaka kufanikiwa unatafuta like mind people. Kuna kipindi enzi za kusaka kazi kuna kampuni ya kimataifa ilikuwa inaajiri. Ilipofika nchini iliingia na philosofia ya kuajiri watu wa kaskazini kwa kuwa waliambiwa toka kwao kuwa hiyo kanda ndiyo chapakazi. I tell you zile challenging positions zote walipewa wachagga wakapiga kazi mpaka wengine walipelekwa branches za nchi nyingine. Hata walipokuwa wameshikilia maeneo kama TRA mambo yalikuwa safi. Wanaitafuta pesa wanakula na kuhakikisha kuwa wanaendeleza taasisi. Si kama wenzangu na mimi akipata nafasi ni kula tu na kuongeza nyumba ndogo mwishowe kampuni au shirika linakufa. Angalia pensheni funds. Hivi kwrli kila mwezi unapokea michango ya mabilioni halafu unafilisika unashindwa hata kulipa mafao? Stupid