Mtoto wa dada angu kicheche, anafeli na nimuhuni. shule gani itamfaa?

Mtoto wa dada angu kicheche, anafeli na nimuhuni. shule gani itamfaa?

Mpeleke shule za dini hususani za wasabato(sda) na waroman(rc) hapo ndo utamuweza na atabadilika tu
 
Mpeleke Kizuka Morogoro... Hizo za masister ataishia kufukuzwa tu na kuliwa ada hawa entertain watukutu kule. Ila Kizuka shule ya Jeshi mwanzo mwisho.
 
Mpeleke Parane mkuu,ipo Same Mashariki,akirudi nyumbani likizo atakuwa anaimba kwaya kanisani
 
Duh thread ya mwaka 2010 watu mlivyochangia hapa ndo utaamini sisi watanzania kila kitubtwafanya nusu nusu
 
Mpeleke Kizuka Morogoro... Hizo za masister ataishia kufukuzwa tu na kuliwa ada hawa entertain watukutu kule. Ila Kizuka shule ya Jeshi mwanzo mwisho.
shule za kijeshi ananyooka.shule za seminary nyingi atafukuzwa kweli.ila kuna shule moja yaani ukimkabidhi mtoto wako mkuu wa shule ananyooshwa tu.ni ya kidini inaitwa UWATA SECONDARY SCHOOL iko vizuri saana kielimu,kimaadili,kimazingira,pia za kisabato nazo nzuri
 
Duh thread ya mwaka 2010 watu mlivyochangia hapa ndo utaamini sisi watanzania kila kitubtwafanya nusu nusu
mm sikujua kumbe bwana.hata nisingechangia,lakini si mbaya wenye matatizo kama hayo wanapata soution
 
shule za kijeshi ananyooka.shule za seminary nyingi atafukuzwa kweli.ila kuna shule moja yaani ukimkabidhi mtoto wako mkuu wa shule ananyooshwa tu.ni ya kidini inaitwa UWATA SECONDARY SCHOOL iko vizuri saana kielimu,kimaadili,kimazingira,pia za kisabato nazo nzuri

Uuuh naona unaplay part yako..safiii sanaaa kjanaaa
 
Hi, jamani, naombeni msaada wenu wa mawazo. Nina somesha mtoto wa dada angu, shule ya secondary, mama yake alisha fariki na baba ake katiwa ndani, kafungwa kiufupi. Huyu mtoto sasa amenichanga. Jana mama kanipigia sim na kaniambia huyu mtoto anarudi home saa sita za usiku, kila siku sasa. Na anamtukana bibi yake na kugombana nae, hawaelewani. Wiki iliopita kuna kijana alikuja na kisu kwa mama na kumulizia huyu mtoto na kudai anataka kupiga mapanga huyo mtoto akimuona. Out out kaendekeza, masomo anafeli na anamarafiki wasio eleweka, mama kashamshinda. Sasa mie nataka aende kusoma nje ya dar, akienda kijijini labda huko atatulia na atasoma vizuri. Lakini sasa mie sijui shule nzuri huko mikoani, je kuna mtu yeyote ambae atanisaidia kunielekeza shule mzuri jamani, asanteni maana nimechanganyikiwa hata sijui la kufanya.

Nadhani atakuwa kaishamaliza masomo yake ! Mkuu

Naomba nisaidie namba yake ya simu !
 
Back
Top Bottom