Mtoto wa dadake Magufuli aondolewa Ukatibu Mkuu

Mtoto wa dadake Magufuli aondolewa Ukatibu Mkuu

Operesheni Ondoa Vizigo[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Mbona majina ya makatibu wakuu na manaibu yamefichwa sana...shida ni nini?
Mwenye mkeka aiweke hapa
 
Hajabaki kama alivyo
kwinyara3-20210318-0002.jpg
 
Mjombake Mwendazake Dotto James katupwa nje. Sukuma gang in big trouble
Inaonekana, Mama kaifanyia kazi hoja hii
Kaithibitisha ni kweli, mtu kawekwa pembeni.
P
 
Back
Top Bottom