Mtoto wa darasa/Class/Standard 3 anasoma mambo makubwa sana

Makuhanii

Member
Joined
Sep 30, 2019
Posts
15
Reaction score
45
Mtoto wa darasa/Class/Standard 3 anasoma mambo makubwa sana.

Kwenye Math... Anasoma namba mpaka 1 million?!!! Class 2 kasoma 100 to 999. Mtoto ambaye ku add namba 3 ni mtihani kwake!!

Kwenye Science... Anasoma hadi What is physics? What is chemistry?!! Pia, science ya class 5 imeletwa class 3.

Hawa watoto wamepewa mzigo mzito mno. Hata waalimu kazi ipo kumfanya mtoto aelewe.
 
Acha kulialia babu, mpewe nini sasa, miaka 7 ooh mingi primary hakuna cha maana ipunguzwe sasa wamepunguza inabid la 7 lisomwe ndani ya la 3.
Na watazoea na wataweza hapana shida hapo kwani wakenya wanatuzid akili?
 
Mtaala utawafanya waweki professional Zaid toka udogoni hapo ni mgumu lakin watazoea mungu ibariki Tanzania mungu ibariki Africa
 
Watazoea tu kuna watu walisoma phsychemistry na walifaulu[emoji28]
 
Back
Top Bottom