Wanataka kushindana na mudaAisee ndiyo wamefanya hivyo? Wanashindana na nini?
Acha kulialia babu, mpewe nini sasa, miaka 7 ooh mingi primary hakuna cha maana ipunguzwe sasa wamepunguza inabid la 7 lisomwe ndani ya la 3.Mtoto wa darasa/Class/Standard 3 anasoma mambo makubwa sana.
Kwenye Math... Anasoma namba mpaka 1 million?!!! Class 2 kasoma 100 to 999. Mtoto ambaye ku add namba 3 ni mtihani kwake!!
Kwenye Science... Anasoma hadi What is physics? What is chemistry?!! Pia, science ya class 5 imeletwa class 3.
Hawa watoto wamepewa mzigo mzito mno. Hata waalimu kazi ipo kumfanya mtoto aelewe.
No way ndio serekare ishaamua hivo