Mtoto wa Darasa la 6 kanishangaza sana

Mtoto wa Darasa la 6 kanishangaza sana

Bora huyo kakumbuka kufua enzi zangu eti kuwe na likizo ndefu iv?

Yaan ata ukiniuliza zilipo sikumbuki[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Izo harakati ni kawaida sana unless wewe home palikuwa ushuani watu ilikuwa J3 asububi unaanza kusaka kuanzia soksi mpaka begi la madaftari na hujui ata vilipo hapo ulitupa tu Friday, Ukimkuta maza mtata unachezea kwanza viboko ndio anaanza kukutafutia vitu vyako
 
Dah huyo dogo kanikumbusha mbali sana mimi mwenyewe nilikuwa nafua nguo zangu usiku..
 
Mimi namwita mwamba, Mdau ukipenda utambatiza jina upendalo. Nimekutana na huyu dogo akiwa anafua uniform zake za shule midaa hii, kumbe aliziweka tu ndani zikiwa chafu baada ya kufunga shule.
 
Duuuuh bora angeenda na uchafu, halafu leo jion angezifua uniform zake.
 
Back
Top Bottom