Izo harakati ni kawaida sana unless wewe home palikuwa ushuani watu ilikuwa J3 asububi unaanza kusaka kuanzia soksi mpaka begi la madaftari na hujui ata vilipo hapo ulitupa tu Friday, Ukimkuta maza mtata unachezea kwanza viboko ndio anaanza kukutafutia vitu vyako
Mimi namwita mwamba, Mdau ukipenda utambatiza jina upendalo. Nimekutana na huyu dogo akiwa anafua uniform zake za shule midaa hii, kumbe aliziweka tu ndani zikiwa chafu baada ya kufunga shule.