Mtoto wa darasa la Pili, Karim Rahim (8), afariki Dunia baada ya kujinyonga kwa kutumia Kamba ya Pazia

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mtoto wa miaka (8) Darasa la Pili anayefahamika kwa Jina la Karim Rahim amefariki dunia baada ya kudaiwa kujinyonga kwa kutumia kamba ya Pazia la Dirishani akiwa kwa bibi yake mtaa wa Osunyai Jr maarufu kata ya Osunyai Jr Jijini Arusha (Kwa mama Nairo) jambo ambalo pia linaleta wasiwasi kwa mtoto mdogo kufanya mamuzi kama ya mtu mzima.

1753072066449.png
Kwa Mujibu wa mwenyekiti wa Mtaa huo Silas Kimbei amethibitisha kutokea kwa Tukio na wanafuatilia kwa undani zaidi mana alipigiwa simu akiwa kanisani na kufika eneo hilo la tukio

Baadhi ya Majirani wameomba Jeshi la polisi kufanya uchunguzi ili kujua nini kimempata mtoto.huyo mdogo kuchukua mamuzi makubwa kiasi hicho mpaka kujikatiza uhai.

Jitihada za Katafuta Jeshi la polisi kwa ajili ua ufafanuzi zaidi zinaendelea licha ya kuwa polisi walifika nyumbani kwa kina mtoto huyo alipojinyongea.

Chanzo: KusagaTv
 
Wamejuaje kama kajinyonga? Kama amenyongwa je? Sema hawa polisi wetu vilaza hakuna uchunguzi wowote watakaoufanya hapa!

Unawaonea na kuwakosea heshima; ukiacha mambo ya Siasa na wakati mwingine kulazimika kutumiwa, Kuna majukumu ya Msingi huwa wanayafanya.
 
Wamejuaje kama kajinyonga? Kama amenyongwa je? Sema hawa polisi wetu vilaza hakuna uchunguzi wowote watakaoufanya hapa!
Kwa matukio kama haya polisi wanafuatikia vizuri sana. Mara nyingi tu watu wamekuja kukamatwa baada ya awali kuonekana mtu kajinyonga au ilikuwa ajali.
Polisi kwenye matukio ya vifo vya kisiasa au mengine yasiyo ya vifo ndiyo hupuuzia mambo au wanahitaji rushwa.
 
Yaweza ikawa ajali ama pia kanyongwa maana tukisema kajinyonga mtoto wa umri huo Hana fikra za namna hiyo yeye fikra zake ni michezo kula kulala
Yawezekana lakin inafikirisha
 
Mtoto wa miaka (8) Darasa la Pili anayefahamika kwa Jina la Karim Rahim amefariki dunia baada ya kudaiwa kujinyonga kwa kutumia kamba ya Pazia la Dirishani akiwa kwa bibi yake mtaa wa Osunyai Jr maarufu kata ya Osunyai Jr Jijini Arusha (Kwa mama Nairo) jambo ambalo pia linaleta wasiwasi kwa mtoto mdogo kufanya mamuzi kama ya mtu mzima.

Kwa Mujibu wa mwenyekiti wa Mtaa huo Silas Kimbei amethibitisha kutokea kwa Tukio na wanafuatilia kwa undani zaidi mana alipigiwa simu akiwa kanisani na kufika eneo hilo la tukio

Baadhi ya Majirani wameomba Jeshi la polisi kufanya uchunguzi ili kujua nini kimempata mtoto.huyo mdogo kuchukua mamuzi makubwa kiasi hicho mpaka kujikatiza uhai.

Jitihada za Katafuta Jeshi la polisi kwa ajili ua ufafanuzi zaidi zinaendelea licha ya kuwa polisi walifika nyumbani kwa kina mtoto huyo alipojinyongea.

Chanzo: KusagaTv
Akamatwe kwanza mzazi. Akifinywa vzur atasema tu
 
Tufanye wewe ndo umemnyonga
Kaka kwa akili timamu HUYO mtoto afunge kamba ajinyonge huo UMRI mkuu hata hushtuki una ambiwa UNASEMAJ et tufanye we NDO umemnyonga khaa, kwani SI kahoji we KILA KITU ni ndio TU kuhoji ahaaa

Bro Alex on da beat
 
Utakuta anaongea hivyo kumbe hata mtoto wa miaka nane hajui anafananaje
 
Inafikirisha alafu akumbuke ni juzi TU hapa. Mtoto kakatwa katwa viungo akawekwa KWENYE karai na kufichwa uvunguni TENA na WATU WA karibu, BADO TU hatujifinziii ama KWELI mdomo WA mlevi hulopoka popote.

Bro Alex on da beats
 
Back
Top Bottom