Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Tufanye wewe ndo umemnyongaWamejuaje kama kajinyonga? Kama amenyongwa je? Sema hawa polisi wetu vilaza hakuna uchunguzi wowote watakaoufanya hapa!
Wamejuaje kama kajinyonga? Kama amenyongwa je? Sema hawa polisi wetu vilaza hakuna uchunguzi wowote watakaoufanya hapa!
Kwa matukio kama haya polisi wanafuatikia vizuri sana. Mara nyingi tu watu wamekuja kukamatwa baada ya awali kuonekana mtu kajinyonga au ilikuwa ajali.Wamejuaje kama kajinyonga? Kama amenyongwa je? Sema hawa polisi wetu vilaza hakuna uchunguzi wowote watakaoufanya hapa!
Akamatwe kwanza mzazi. Akifinywa vzur atasema tuMtoto wa miaka (8) Darasa la Pili anayefahamika kwa Jina la Karim Rahim amefariki dunia baada ya kudaiwa kujinyonga kwa kutumia kamba ya Pazia la Dirishani akiwa kwa bibi yake mtaa wa Osunyai Jr maarufu kata ya Osunyai Jr Jijini Arusha (Kwa mama Nairo) jambo ambalo pia linaleta wasiwasi kwa mtoto mdogo kufanya mamuzi kama ya mtu mzima.
Kwa Mujibu wa mwenyekiti wa Mtaa huo Silas Kimbei amethibitisha kutokea kwa Tukio na wanafuatilia kwa undani zaidi mana alipigiwa simu akiwa kanisani na kufika eneo hilo la tukio
Baadhi ya Majirani wameomba Jeshi la polisi kufanya uchunguzi ili kujua nini kimempata mtoto.huyo mdogo kuchukua mamuzi makubwa kiasi hicho mpaka kujikatiza uhai.
Jitihada za Katafuta Jeshi la polisi kwa ajili ua ufafanuzi zaidi zinaendelea licha ya kuwa polisi walifika nyumbani kwa kina mtoto huyo alipojinyongea.
Chanzo: KusagaTv
Kaka kwa akili timamu HUYO mtoto afunge kamba ajinyonge huo UMRI mkuu hata hushtuki una ambiwa UNASEMAJ et tufanye we NDO umemnyonga khaa, kwani SI kahoji we KILA KITU ni ndio TU kuhoji ahaaaTufanye wewe ndo umemnyonga
Utakuta anaongea hivyo kumbe hata mtoto wa miaka nane hajui anafananajeKaka kwa akili timamu HUYO mtoto afunge kamba ajinyonge huo UMRI mkuu hata hushtuki una ambiwa UNASEMAJ et tufanye we NDO umemnyonga khaa, kwani SI kahoji we KILA KITU ni ndio TU kuhoji ahaaa
Bro Alex on da beat
Inafikirisha alafu akumbuke ni juzi TU hapa. Mtoto kakatwa katwa viungo akawekwa KWENYE karai na kufichwa uvunguni TENA na WATU WA karibu, BADO TU hatujifinziii ama KWELI mdomo WA mlevi hulopoka popote.Utakuta anaongea hivyo kumbe hata mtoto wa miaka nane hajui anafananaje