EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 13,579
- 21,407
Movie nyingine kwanza tu huko zilikotengenezwa ni ushetanini movie ya namna hiyo lazima ibebe spirits zinazofanya kaziDogo atakuwa aliona kwenye movie akatest. Sometimes kuwa makini na vitu mtoto ako anaangalia mtoto asiangalie mambo ya kutisha au mambo yasiyo na maadili
ua wewe uone jinsi walivyo vilaza kweli.Wamejuaje kama kajinyonga? Kama amenyongwa je? Sema hawa polisi wetu vilaza hakuna uchunguzi wowote watakaoufanya hapa!
Hili jambo nilitaka niliseme nashukuru umelisema,wabongo hatuna parental control kwenye movie na Channel za TV,ni kunyang'anyana rimoti tu atakayewahi,mzazi unaondoka unaacha DSTV au Azam ina Kifurushi mtoto anatamba na rimoti tuDogo atakuwa aliona kwenye movie akatest. Sometimes kuwa makini na vitu mtoto ako anaangalia mtoto asiangalie mambo ya kutisha au mambo yasiyo na maadili