Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwezi kuona point mkuu sababu hujataka kushirikisha uwezo wako wa ufahamu.Umeandika mengi nikadhani nitakutana na POINTI,kumbe umeandika UTUMBO MTUPU.
Haha [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hongera Sana Mtoto kwa kufikisha followers milioni 1 hakika ni mafanikio makubwa sana kwa Africa.
Mawazo yatakayo kuja baada ya comment ya Ally7 ni majungu mjadala tayari umeshafungwaAlly7.
wewe ndio uliehitimisha mjadala, mimi na wezangu tuliokuwa na naniya ya kuchangia, hatutokua na jipya