Mtoto wa Diamond Platnumz awa mtoto wa kwanza Africa kufikisha followers milioni moja Instagram

ila watanzania bhana sasa mnamfollow mtoto mdogo kama huyo kwa kipi cha maana wanachokipata?
 
In the country of the blind....

ila watanzania bhana sasa mnamfollow mtoto mdogo kama huyo kwa kipi cha maana wanachokipata?
Kwanini mnapenda kututukanisha watanzania na kuonesha kuwa hatuna akili dunia nzima? Hamjui kuwa haya yanafanyika dunia nzima? Kwahiyo kama ni ujinga au upumbavu upo duniani kote. Juzi dream kardashian amefunguliwa account na watu kibao wamemfollow hamjaona ajabu? Hamjaona hao wako "in the country of the blind"?

Ukiona kitu unakiona cha ajabu basi jua kimekuzidi umri/maarifa/manufaa au umekizidi umri/maarifa/manufaa. Kwania njema tu unaweza kuachana nacho kwasababu simply kinakuwa hakikuhusu tena.
Wapo watanzania wenye akili sana tu acheni kuwadharau.
 
Hivi siku server za instagram zikifungwa naona kuna watu watajiua yaani watanzania badala ya kudeal na vitu vya maana mpo busy kuangalia views za instagram.
 
Laah!!

hii kweli Tanzania,
(Ninachowaza Mimi sio kama wengine wameshindwa (wazazi mastaa wenye watoto) ila huenda hawajawekeza akili na maarifa yao yote kwaajili ya akaunti za Instagram kwa watoto wao).

Najuwa utabisha ila jiulize;
.
huyo tifa mwenye follower wengi anaweza kupost chochote Instagram?

Hivyo basi tambua wazazi wake maarifa na akili zao zote wamewekeza huko,hata wewe ukitaka unaweza ila kuna mengi mazuri na bora zaidi ya kupigania kwaajili ya mwanao hasa wa kike kuliko kumjazia followers Instagram..
hiyo ni pesa na pesa inaingia kwenye account, huyo mtoto hajui hata kama ana account lakini ni balozi wa makampuni tayari, unaweza fikili wanafanya kwa kuentertain ila ukisoma bio ya hiyo account utaelewa nachomaanisha.
 
Watu wana follow nini kwa Tiffah? Kuna kipi cha maana anachopost kwa mfano? Maybe picha akiwa kalala au anachezea toys na upuuzi mwingine unaofanana na huo. yeye mwenyewe hata hajui kama yuko instagram lakini watu wanam follow
 
Hongera Tiffa,umefanya Tanzania yetu ifahamike zaid barani Africa
 
Hizi tathimini nyingine lazima tujue vyanzo vyake,Maana bongo upambe umezidi sana.Ebu huyu mtu aliweka hii posti aseme amepata wapi vyanzo?
 
Kwanini mnapenda kututukanisha watanzania na kuonesha kuwa hatuna akili dunia nzima? Hamjui kuwa haya yanafanyika dunia nzima? Kwahiyo kama ni ujinga au upumbavu upo duniani kote. Juzi dream kardashian amefunguliwa account na watu kibao wamemfollow hamjaona ajabu? Hamjaona hao wako "in the country of the blind"?

Ukiona kitu unakiona cha ajabu basi jua kimekuzidi umri/maarifa/manufaa au umekizidi umri/maarifa/manufaa. Kwania njema tu unaweza kuachana nacho kwasababu simply kinakuwa hakikuhusu tena.
Wapo watanzania wenye akili sana tu acheni kuwadharau.
kwahiyo kwakua mambo yamefanyika kwakina kim kardashian ww kwako unaona ni reference tosha na yanausahihi? hebu niambie utajifunza nn kwa huyo mtoto ?
 
Huyo mdogo wake tiffa bado hajazaliwa kafunguliwa page keshafikisha followers karibia 7000 kimepostiwa kitanda chake tu comments karibia 500,binadamu sisi waajabu sana.
 
Kwanini mnapenda kututukanisha watanzania na kuonesha kuwa hatuna akili dunia nzima? Hamjui kuwa haya yanafanyika dunia nzima? Kwahiyo kama ni ujinga au upumbavu upo duniani kote. Juzi dream kardashian amefunguliwa account na watu kibao wamemfollow hamjaona ajabu? Hamjaona hao wako "in the country of the blind"?

Ukiona kitu unakiona cha ajabu basi jua kimekuzidi umri/maarifa/manufaa au umekizidi umri/maarifa/manufaa. Kwania njema tu unaweza kuachana nacho kwasababu simply kinakuwa hakikuhusu tena.
Wapo watanzania wenye akili sana tu acheni kuwadharau.
 
Sasa hivi anampita mpaka king kiba.....sasa sijui wataanza kumuwekea bifu mpaka tiffah
 
Kwanini mnapenda kututukanisha watanzania na kuonesha kuwa hatuna akili dunia nzima? Hamjui kuwa haya yanafanyika dunia nzima? Kwahiyo kama ni ujinga au upumbavu upo duniani kote. Juzi dream kardashian amefunguliwa account na watu kibao wamemfollow hamjaona ajabu? Hamjaona hao wako "in the country of the blind"?

Ukiona kitu unakiona cha ajabu basi jua kimekuzidi umri/maarifa/manufaa au umekizidi umri/maarifa/manufaa. Kwania njema tu unaweza kuachana nacho kwasababu simply kinakuwa hakikuhusu tena.
Wapo watanzania wenye akili sana tu acheni kuwadharau.
Yes you made my day, it is exactly what I meant, I hope you have the capacity of grasping what was my meaning in the first place.
 
bongo bhana soon zitaanza stori za kununua followers Insta, alafu badaye tutasikia huyo mtoto freemason.. Yaani upuuzi tu waacheni watu waishi maisha yao
 
Like seriously jamani embu mnieleweshe kidogo. Hivi inakuwaje Mtu nzima mwenye akili zake, Kaka/Dada/Baba/mama yae Mtu anamfollow mtoto wa miaka 2 sijui on insta/Twitter ......Kwa lipi???
 
Back
Top Bottom