Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
In the country of the blind....ila watanzania bhana sasa mnamfollow mtoto mdogo kama huyo kwa kipi cha maana wanachokipata?
In the country of the blind....
Kwanini mnapenda kututukanisha watanzania na kuonesha kuwa hatuna akili dunia nzima? Hamjui kuwa haya yanafanyika dunia nzima? Kwahiyo kama ni ujinga au upumbavu upo duniani kote. Juzi dream kardashian amefunguliwa account na watu kibao wamemfollow hamjaona ajabu? Hamjaona hao wako "in the country of the blind"?ila watanzania bhana sasa mnamfollow mtoto mdogo kama huyo kwa kipi cha maana wanachokipata?
duhHongera Sana Mtoto kwa kufikisha followers milioni 1 hakika ni mafanikio makubwa sana kwa Africa.
hiyo ni pesa na pesa inaingia kwenye account, huyo mtoto hajui hata kama ana account lakini ni balozi wa makampuni tayari, unaweza fikili wanafanya kwa kuentertain ila ukisoma bio ya hiyo account utaelewa nachomaanisha.Laah!!
hii kweli Tanzania,
(Ninachowaza Mimi sio kama wengine wameshindwa (wazazi mastaa wenye watoto) ila huenda hawajawekeza akili na maarifa yao yote kwaajili ya akaunti za Instagram kwa watoto wao).
Najuwa utabisha ila jiulize;
.
huyo tifa mwenye follower wengi anaweza kupost chochote Instagram?
Hivyo basi tambua wazazi wake maarifa na akili zao zote wamewekeza huko,hata wewe ukitaka unaweza ila kuna mengi mazuri na bora zaidi ya kupigania kwaajili ya mwanao hasa wa kike kuliko kumjazia followers Instagram..
kwahiyo kwakua mambo yamefanyika kwakina kim kardashian ww kwako unaona ni reference tosha na yanausahihi? hebu niambie utajifunza nn kwa huyo mtoto ?Kwanini mnapenda kututukanisha watanzania na kuonesha kuwa hatuna akili dunia nzima? Hamjui kuwa haya yanafanyika dunia nzima? Kwahiyo kama ni ujinga au upumbavu upo duniani kote. Juzi dream kardashian amefunguliwa account na watu kibao wamemfollow hamjaona ajabu? Hamjaona hao wako "in the country of the blind"?
Ukiona kitu unakiona cha ajabu basi jua kimekuzidi umri/maarifa/manufaa au umekizidi umri/maarifa/manufaa. Kwania njema tu unaweza kuachana nacho kwasababu simply kinakuwa hakikuhusu tena.
Wapo watanzania wenye akili sana tu acheni kuwadharau.
Kwanini mnapenda kututukanisha watanzania na kuonesha kuwa hatuna akili dunia nzima? Hamjui kuwa haya yanafanyika dunia nzima? Kwahiyo kama ni ujinga au upumbavu upo duniani kote. Juzi dream kardashian amefunguliwa account na watu kibao wamemfollow hamjaona ajabu? Hamjaona hao wako "in the country of the blind"?
Ukiona kitu unakiona cha ajabu basi jua kimekuzidi umri/maarifa/manufaa au umekizidi umri/maarifa/manufaa. Kwania njema tu unaweza kuachana nacho kwasababu simply kinakuwa hakikuhusu tena.
Wapo watanzania wenye akili sana tu acheni kuwadharau.
Yes you made my day, it is exactly what I meant, I hope you have the capacity of grasping what was my meaning in the first place.Kwanini mnapenda kututukanisha watanzania na kuonesha kuwa hatuna akili dunia nzima? Hamjui kuwa haya yanafanyika dunia nzima? Kwahiyo kama ni ujinga au upumbavu upo duniani kote. Juzi dream kardashian amefunguliwa account na watu kibao wamemfollow hamjaona ajabu? Hamjaona hao wako "in the country of the blind"?
Ukiona kitu unakiona cha ajabu basi jua kimekuzidi umri/maarifa/manufaa au umekizidi umri/maarifa/manufaa. Kwania njema tu unaweza kuachana nacho kwasababu simply kinakuwa hakikuhusu tena.
Wapo watanzania wenye akili sana tu acheni kuwadharau.