Mtoto wa Diamond Platnumz awa mtoto wa kwanza Africa kufikisha followers milioni moja Instagram

Tutamlaumu bure Magufuli lakini ukweli tunaujuwa kwamba anaongoza Taifa lililojaa mataahira.

Utafiti wa Twaweza wa 1/4 uko sahihi kabisa.

Wote wanaomfollow huyo mtoto ukiwapima akili hakuna mzima hata mmoja.
 
hizo following zinatija kwa mtoto...je akikuwa akawa na miaka 16+ effect ikoje kwake...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…