Mtoto wa Dida

picha ya samira tafadhali... ameshafika umri kama wa mtoto wa kajala?
Una hamu ya jela ndugu? hii kutaja taja jina la mtoto tu humu bila ya ruksa yake na wazazi wake inaweza leta mushkelikwa muda fulani wa maisha yako seuze picha!
Ombeni dua Dida shetani lake la ukorofi liende likizo la sivyo...!
 
amezaa na mchops
jina mohammedi mchopanga alikua na magari ya mwannyamala kkoo

alikua ana magari? siku hizi hana tena? ila yule baba alimpenda sana dida aisee, ila mtu mzima dawa jamani, hawa vijana ni kwi kwi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…