Kazaa na baba samira.
Hahahah í-½í¸… í-½í¸… í-½í¸… í-½í¸… ahsante kwa kunichekesha hahaaaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazaa na baba samira.
mwe unajua umeniumiza masikio......LOL
Una hamu ya jela ndugu? hii kutaja taja jina la mtoto tu humu bila ya ruksa yake na wazazi wake inaweza leta mushkelikwa muda fulani wa maisha yako seuze picha!picha ya samira tafadhali... ameshafika umri kama wa mtoto wa kajala?
picha ya samira tafadhali... ameshafika umri kama wa mtoto wa kajala?
Hee...! Picha ya mwanae ya nini jamani??
Kama hajapenda kumtandaza why tulazimishe?
Ni mdogo kuliko wa Kajala.
amezaa na mchops
jina mohammedi mchopanga alikua na magari ya mwannyamala kkoo
alikua ana magari? siku hizi hana tena? ila yule baba alimpenda sana dida aisee, ila mtu mzima dawa jamani, hawa vijana ni kwi kwi!
Ulijuaje ndugu yangu?Huyo naye lazima ndoa zitakuja kumshinda tu.
Mtoto wa nyoka ni nyoka......post ya February 2015Ulijuaje ndugu yangu?
Kweli mane no yanaumbaMtoto wa nyoka ni nyoka......post ya February 2015
The best answerKazaa na baba samira.
Umemaliza mrembo..HahaaaKazaa na baba samira.