09 May 2022
Manila, Philippines 🇵🇭
Katika muendelezo wa watoto wa marais kuibuka baadaye kushika uongozi wa nchi, huko nchi ya visiwa vya Philippines watoto wa Dictator Marcos na dictator Rodrigo Duterte wanaelekea kushinda uchaguzi unaoelezewa wa kihistoria nchini humo.
Source : Bongbong Marcos
Mgombea urais Ferdinand “Bongbong” Marcos Jr pamoja na mgombea mwenza bi Sara Duterte binti wa rais aliyeiongoza Philippines kwa mkono wa chuma rais Rodrigo Duterte wanaelekea kupata ushindi .
Vyanzo vya uhakika vya kutabiri takwimu kisayansi za chaguzi zinasema watoto hao wawili wa vigogo nchini Philippines wanaelekea kupata ushindi wa zaidi ya asilimia 56 za kura zote.
Wapinzani wa tawala za ki dictator na zile za kimabavu wamesema vyombo vya habari za mitandaoni vimevipiku vyombo vya habari rasmi vya radio, televisheni na magazeti kwa kuandika habari za kusafisha tawala za wazazi wa wagombea hao ambao walilaumiwa kwa rushwa kubwa, utawala wa kimabavu na mauaji ya raia waliowakosoa tawala hizo za dictator Mzee Ferdinand Marcor Sr na mtoa roho za watu Rodrigo Duterte.
Kutokana na ufisadi na rushwa kubwa kubwa sehemu kubwa ya raia wa Philippines wanaishi katika umasikini mkubwa hivyo hawana uwezo wa kuwa na televisheni wala radio majumbani mwao na wanategemea mitandao ya kijamii ya Facebook, TikTok na YouTube kwa habari kupitia simu zao janja na bahati mbaya majukwaa hayo ya mitandaoni yanaendeshwa na washabiki wa familia hizo mbili za marais madictator waliojilimbikizia fedha nyingi kwa ufisadi wa kutisha.
Bongbong Marcos na Sara Duterte wamekuwa wakikwepa midahalo na kuwaacha mashabiki wao wasiolala wanaokesha kwa siku, wiki na miezi kadhaa kuwanadi kwa ushawishi wa hali ya juu katika instagram, Facebook na mitandao mingine ya kijamii hivyo wapinzani wao katika kinyanganyiro cha urais kulalamika hawajapata nafasi sawa kuwafikia wapiga kura kwani vyombo vyote vimeelemea kwa ma celebrate hao watoto wa vigogo wa siasa za Philippines.
Wazee wanasema Dictator Mzee Ferdinand Marcos alianza vizuri alipoingia madarakani mwaka 1965. Dictator Mzee Marcos alianzisha miradi mingi ya maendeleo ya vitu kama barabara, Nishati na pia maji na kugusa mioyo ya waFilipino wa enzi hizo.
Lakini wazee hao waFilipino pia wanasema baadaye akabadilika na kuanza udiktekta uchwara wa kuingilia uhuru wa Bunge, kufungia magazeti, demokrasia, uhuru wa kusema kisha kutangaza hali ya hatari (martial law) na kiongozi huyo kutumia hali hiyo kujiingiza katika ufisadi na rushwa kubwa kubwa huku yeye Dictator Mzee Marcos na wafuasi wachache wakijitajirisha na kuwaacha wananchi wa kawaida watumbukie katika umasikini wa kutupwa.
=========
Filipinos began voting on Monday in a national election that pits the offspring of two leading political dynasties against a progressive candidate promising a break with the country’s increasingly authoritarian governance.
Presidential canKdidate Ferdinand “Bongbong” Marcos Jr and his running mate Sara Duterte, President Rodrigo Duterte’s daughter, hold a commanding lead in opinion polls over nearest rival Leni Robredo, the sitting vice-president, who is running alongside Kiko Pangilinan, a senator.
A poll by Pulse Asia published last week showed Marcos with 56 per cent of popular support, more than double the 23 per cent for Robredo. Duterte holds an even larger lead over Pangilinan under an electoral system that allows voters to vote for presidents and vice-presidents from different parties.