Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,043
Hii dunia inapoelekea ni hatari. Watoto watakosa malezi ya baba, huu ni ubinafsi wanaofanya hawa wadada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!Hii dunia inapoelekea ni hatari. Watoto watakosa malezi ya baba, huu ni ubinafsi wanaofanya hawa wadada
View attachment 2279987
Duh!
Unapokea sperms zilizokuwa donated huko hata hujui mwenye nazo yupoje!🤔 Kama donor ni jambazi, 'si riziki', nk unaathiri mtoto negatively!!!
Kwanza mwanamke hana mbegu hajui anachokizungumza labda anatafuta kiki time will tell. Kingne watu wengi wana matatizo ya uzazi usikute aliambiwa ana mayai matatu yamebaki na hawezi poteza mda on traditional way of getting pregnant atapoteza akajikuta anajarib hii njia. Kuna wengi wanafika hata 25 mayai yanakata kabisa wanaingia menopose. .
There is no truth in media watu wengi wanafanya maigizo hata kwenye mambo ya kimsingi. Inapobidi hata mayai unayagandisha. .