"Mweusi uso usio na chunusi,natural color,chotara,mrefu,maji ya kunde kaenda hewani sekunde.
Anatema slang,Anamwaga ngeli,anabonga ung'eng'e
Yaani alivyomweleza ni kwamba huyu binti ni mweusi,halafu chotara na pia maji ya kunde.
halafu anatema slang,anamwaga ngeli na kubonga ung'eng'e'''''
Nimevuta picha siipatii.

Mambo ya kutafuta vina hayo
yaani ni shida babu katisha
kwenye wimbo wa 'Gangwe Wape Vidonge vyao' waliomshirikisha Nasma Hamisi ndo waliniacha hoi, wanakwambia uwacheki kwenye website yao ww@gangwemobb.com, ila kwa kipindi hicho tulikuwa tunaona sawa tu
"Mweusi uso usio na chunusi,natural color,chotara,mrefu,maji ya kunde kaenda hewani sekunde.
Anatema slang,Anamwaga ngeli,anabonga ung'eng'e
Yaani alivyomweleza ni kwamba huyu binti ni mweusi,halafu chotara na pia maji ya kunde.
halafu anatema slang,anamwaga ngeli na kubonga ung'eng'e'''''
Nimevuta picha siipatii.
Jamaa alikuwa anweza sana kupamba mademu na misosi ndio usiseme