Mtoto wa geti kali aliyemwimba Inspekta Horoun sipatii sura, rangi na umbile lake

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
"Mweusi uso usio na chunusi,natural color,chotara,mrefu,maji ya kunde kaenda hewani sekunde.

Anatema slang,Anamwaga ngeli,anabonga ung'eng'e

Yaani alivyomweleza ni kwamba huyu binti ni mweusi,halafu chotara na pia maji ya kunde.
halafu anatema slang,anamwaga ngeli na kubonga ung'eng'e'''''
Nimevuta picha siipatii.
 
We hapo shika tu kuwa kenda hewan sekunde
 
"Mweusi uso usio na chunusi,natural color,chotara,mrefu,maji ya kunde kaenda hewani sekunde.

Anatema slang,Anamwaga ngeli,anabonga ung'eng'e

Yaani alivyomweleza ni kwamba huyu binti ni mweusi,halafu chotara na pia maji ya kunde.
halafu anatema slang,anamwaga ngeli na kubonga ung'eng'e'''''
Nimevuta picha siipatii.

Hahahahaha! Aisee nilikuwa cjawahi kuickiliza kwa makini, umenifurahisha leo
 
Mtoto WA geti kali,anayeweza Kula ugali kwa kulumagia na kachumbali..Kitambooo..
 
"Mweusi uso usio na chunusi,natural color,chotara,mrefu,maji ya kunde kaenda hewani sekunde.

Anatema slang,Anamwaga ngeli,anabonga ung'eng'e

Yaani alivyomweleza ni kwamba huyu binti ni mweusi,halafu chotara na pia maji ya kunde.
halafu anatema slang,anamwaga ngeli na kubonga ung'eng'e'''''
Nimevuta picha siipatii.

Endelea kuivuta hiyo picha utaipatia tu ukijitahidi zaidi
 
Gangwe Mobb sikuhizi wanaringaaa!
Wanapiga pamba kama Sebastian Maganga au John Dillingaaa!
 
kwenye wimbo wa 'Gangwe Wape Vidonge vyao' waliomshirikisha Nasma Hamisi ndo waliniacha hoi, wanakwambia uwacheki kwenye website yao ww@gangwemobb.com, ila kwa kipindi hicho tulikuwa tunaona sawa tu
 
Ivute sana hiyo picha hadi isogee karbu yako utaipata tu
 
Hivi hakuna mwenye nyimbo zake tukumbukie maana jamaa anavijimaneno fulani vya kujirudia rudia vitamu kweli,ila jamaa walinoboa safari 1 walikuja kitaa cha home kipindi hicho wenyewe ndo gumzo la mjini basi wamekuja wako pombe mbaya hata kupiga show hawawezi wacha Inspector achezee za tyson na aliyewaleta kwa kutaka mihela na shoo hawajafanya.
 
wasanii wanaotokea tmk wanaongoza kwa kutaja vyakula kwenye verse zao
 
kwenye wimbo wa 'Gangwe Wape Vidonge vyao' waliomshirikisha Nasma Hamisi ndo waliniacha hoi, wanakwambia uwacheki kwenye website yao ww@gangwemobb.com, ila kwa kipindi hicho tulikuwa tunaona sawa tu

Na walikua nayo website kweli ila hata wenyewe walikua hawajui kuingia kwenye hiyo web.ilikua na photo moja tu ya inspekta.
 
"Mweusi uso usio na chunusi,natural color,chotara,mrefu,maji ya kunde kaenda hewani sekunde.

Anatema slang,Anamwaga ngeli,anabonga ung'eng'e

Yaani alivyomweleza ni kwamba huyu binti ni mweusi,halafu chotara na pia maji ya kunde.
halafu anatema slang,anamwaga ngeli na kubonga ung'eng'e'''''
Nimevuta picha siipatii.

- Mtoto wa geti mageti
- Pamba zake vi-body tight
- Nywele mithili ya Jenifa Lopez
- Figa na Swing slide zake mtaani kote hadidhi
- Mtoto kakolea shedo lipstick
- Wa kunyonya denda bite love,romance
- Ngozi Nyororo,mororo, murua
- Mwili utadhani kamwagiwa Asali
- Ana pua ndefu ndefu ya kigabachori
- Kila nikimchunguza mwenzenu sioni hata dosari

# Dah nimekumbuka mbali sana nilikuwa nashusha verse zote za huu wimbo.
 
Back
Top Bottom