Mtoto wa Hamisa Mobetto, Dylan na dili la Juventus Academy Tanzania

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mtoto wa Hamisa Mobetto, Dylan Deetz, amejiunga rasmi na Juventus Academy Tanzania kama balozi. Hamisa Mobetto alieleza furaha yake kupitia Instagram, akisema:



Juventus Academy Tanzania inalenga kusaidia vijana wenye vipaji vya soka kwa kutumia mbinu za mafunzo za Juventus zinazotambulika kimataifa. Kujiunga kwa Dylan na akademi hii ni hatua muhimu katika safari yake ya soka, na inatoa fursa ya kipekee kwa maendeleo yake katika mchezo huo.
Your browser is not able to display this video.
 

Attachments

  • IMG_0499.jpeg
    369.1 KB · Views: 7
Tangu waanze wametoa wa chezaji kama wakina nani?
 
Kwahyo kumbe Ni balozi Sio Mwanafunzi w Hiyo Accademy
 
Jambo jema kamuandalia mtoto future nzuri
 
Safi sana, dili kubwa hili ila Hamisa mkazanie mtoto mazoezi ya mpira hiyo control yake imetuangusha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…