Mtoto wa Jackie Chan amuoa mwanamke mwenzie

Amlete africa huko majuu wanaume legelege wala bugger
Yaani huku u tom boy mwisho zanzibar huku bara ni kubebishana tu
 
Ni maisha yake binafsi. Halituhusu. Waje wafanye fungate Serengeti. Tunahitaji pesa zao. La ushoga ni lao wewe linakuhusu nini... Umbea tu....

Kwahiyo huyu binti utamu wa gitamuri atausikia kwa jirani??
 
Awa kawii sikia ni muvi ila poah ingekua ni mtoto wake yule wa kiume ingekua shida haya ndo matokeo ya kukipenda sana kitu chako au mtt wako shida tayari hapo mtt mdg ila ameoza akili cjui ndo kampeni yenyewe ya ushoga mbele
Huo sio ushoga bali ni usagaji
 
Naomba nikurekebishe kidogo, mtoto wake huwa anajihisisha na kuuza madawa ya kulevya pia ndio akatoa ile kauli kwamba mwanae hatarithi chochote kutoka kwake maana yeye ni ambassador wa kupinga madawa ya.kulevya china
 
Ni maisha yake binafsi. Halituhusu. Waje wafanye fungate Serengeti. Tunahitaji pesa zao. La ushoga ni lao wewe linakuhusu nini... Umbea tu....
Mkuu kwani vipi?mbona kama umepanic hivi?
 
Tatizo la hawa watu (wazazi) ni pale wanapowaambia watoto wao "una uhuru wa kufanya unalotaka maana hata dini wanawaambia ni uamuzi wako.

Na anapokua mzazi analetewa mtu na kumtambulisha kuwa " huu ndio uamuzi wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…