PostGE2025 Mtoto wa Jenista Mhagama ajitosa kumrithi mama yake jimbo la Peramiho

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hao wote wamefariki ndani ya muda huu mfupi .

CCM iwafikie hii ishara , watapukutika wote.
 
Huu mfumo wa kurisisha watoto, mtasababisha hawa wazazi kuwa target.

Kuna mitoto mingine na wanavyoilea ki maandazi maandazi likiwaza marupu rupu na mamilioni kiinua mgongo linamtuma mzazi wake heaven
 
Nchimbi aliongoza Songea Mjini miaka 10 ni mzaliwa wa Songea? Wakati ni mmatengo wa Mbinga??

Joseph Mhagama aliongoza Madaba kwani mzawa wa kule? Wakati yeye ni mtu wa Manda Mbinga.

Victor anachukua hili jimbo.
 
CCM ina wenyewe bana, sio hawa wakina Lucas na genge lake kutwa kuchwa wako humu kusifia na kujipendekeza.Mwangilieni Victor mwenzenu..mfumo unampigania...connection, NEPOTISM...
Mtakua machawa pro max maisha yenu yote, na vizazi vyenu vyote, lkn pale juu kwenye meza ya wafalme hamwezi fika.BADILIKENI...mfumo wenyewe una akili, kumpa chawa promax ufalme ni sawa na kumpa kichaa ufalme - hawawezi kubali watawatumia kwa ujira wa buku 7000 mpaka mkome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ