PostGE2025 Mtoto wa Jenista Mhagama ajitosa kumrithi mama yake jimbo la Peramiho

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Sio sbb , makonda wa wapi?
Anyway, atapata sbb wameamua kumpa sio sbb ya wapiga kura
 
Atashinda mpende msipende..
 
Tz hakuna uchaguzi
 
Nchimbi aliongoza Songea Mjini miaka 10 ni mzaliwa wa Songea? Wakati ni mmatengo wa Mbinga??

Joseph Mhagama aliongoza Madaba kwani mzawa wa kule? Wakati yeye ni mtu wa Manda Mbinga.

Victor anachukua hili jimbo.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…