Mtoto wa Jicho hufahamika kama
(Cataract) ambapo lensi ya jicho inakuwa na hali ya ukungu ambapo huzuwia mwanga kuingia ndani ya jicho, matokeo yake ni upofu.. Mtoto wa jicho shida inakuwa kwenye lensi nasio vinginevyo. Hali hii ya mtoto wa jicho inaweza kuwa ya kuzaliwa nayo au ukaipata ukubwani kutokana na ugonjwa wa Kisukari
(diabetic mellitus), kuumia jicho au maambukizi ya jicho