Mtoto wa jicho

Mtoto wa jicho

OCC Doctors

Senior Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
113
Reaction score
172
Mtoto wa Jicho hufahamika kama (Cataract) ambapo lensi ya jicho inakuwa na hali ya ukungu ambapo huzuwia mwanga kuingia ndani ya jicho, matokeo yake ni upofu.. Mtoto wa jicho shida inakuwa kwenye lensi nasio vinginevyo. Hali hii ya mtoto wa jicho inaweza kuwa ya kuzaliwa nayo au ukaipata ukubwani kutokana na ugonjwa wa Kisukari (diabetic mellitus), kuumia jicho au maambukizi ya jicho
cataracts-2.jpg
 
Back
Top Bottom