Binti wa JK aitwaye Salama Kikwete amehitimu digrii ya Doctor of Dental Surgery Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili.
Hii inafurahisha kwa baadhi ya viongozi wetu kusomesha watoto wao hapa hapa bongo.
picha kutoka Mkuu wa nanihii -
MICHUZI