Mtoto wa Jk ahitimu Muhimbili

Mtoto wa Jk ahitimu Muhimbili

Hongera salama....But huyu mtu ana watoto wangapi??? Manakee....
 
Binti wa JK aitwaye Salama Kikwete amehitimu digrii ya Doctor of Dental Surgery Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili.

Hii inafurahisha kwa baadhi ya viongozi wetu kusomesha watoto wao hapa hapa bongo.
picha kutoka Mkuu wa nanihii - MICHUZI
i159_JK2BDAUGHTER2B2.JPG


i160_mamajk.JPG

Hongera daktari kama kina Lembariti hawajakupetesha lakini manake hiyo MUCHS(MUCHAS) si mchezo na nyie watu wa DDS pia mna kimbembe sana kwenye miaka ya mwanzo.
Sema ajabu ya MUCHS,DDS wanachukua mpaka point 12 lakini MD na Pharmacy ni one to au wakiteleza sana ni point 10.
 
Back
Top Bottom