Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Yule anayejiitaga mrekebisha tabia kuna wakat alikuwa anampigia promo kuwa kyna jambo kubwa sana huyo wema anakuja kulifanya tena kwa kushirkiana na watu wa ngaz za juu serikalin na hapo ndo watu wote watamheshim!!!! Kitendawili hko
Potelea mbali, nipo tayari kuonekana nimekimbia jiji lakini ikiwa hadi mimba za watu zinauliziwa kadi ya kliniki utafikiri wamekuwa manesi, hapana kwa kweli!Unguja kufanya nn wakat mjin ndo habar ya dunia
Shika adabu yako we mtoto, unamaanisha nini?! Si unajua sie watu wa mwambao tulivyo sensitive na hivi Viswahili vyenu mnavyojifunzia ukubwani!!!Ananitisha huyu sio bure, unguja tena mhh
Nani kasema nakuacha... nimwachie warumi aringe! Au umesahau kwamba Dar-Unguja ni dakika 90 tu?! Yaani warumi akienda mjini kati kushangaa watoto wa mjini kisha tunaamua kuondoka kwa pamoja; mie natoka Unguja kuja Dar na yeye anaenda kwao Goba... mi nafika kwanza ghetto kabla ya yeye hajafika huko shamba!ukiondoka mie utaniacha na nani?????????/
Mie nasubiria le tamkozi mwenyewe ili kuthibitisha ka ni kweli au rumours za watu.
Mwenzangu na tusubirie yu, labda viti maalum ila jimbo kama jimbo sidhani.
Viti maalumu vinamhusu hapo. Jimboni si rahisi kihivyo.
Na atapata nakwambia
Na atapata nakwambia
Sio ajabu mwenzangu!
Weee, jimbo sio masihara eti.Lazima uanzie ngazi za chini huko, yule hata kadi ya UVCCM sidhani kama anayo.
Na kama anayo basi haizidi mwaka.
Mpwa nawe ushaanza hapa... sasa mafumbo yapo wapi? Kwani wewe huijui test-tube? Huijui cylinder? Huijui flask? Huijui Bunsen Burner? Kwani hujui hivi vifaa vinatumika kufanyia practical? Huyu Heaven on Earth huyu anataka ku- resit Chemistry na Biology kwahiyo ameniomba nimsaidie kwenye practical! Eti mwenyewe anajifanya kutaka kwenda kusomea udaktari... mji una mambo huu; ndo maana nataka kuhama zangu! Mpwa, ukisikia cjui cylinder, mara test tube sijui nini na nini, ni hizi hapa, kwahiyo hakuna mafumbo hapo:Loh unatoka na chige? Halafu nyie mafumbo yenu siyapendi mxiuuu
Na Lady jay dee nae nasikia ana ujawepes muda si mrefu atasafiri kwenda kwao halafu arudi na mtoto. Mjini mipango kisa cha kutusema hatuzai. Mtakoma tunazaa kwa siri hadi mtoto aanze kukaa ndo mtamuona Insta.