Mtoto wa Johari aibua maswali, wadau wanataka cheti cha mtoto

Mtoto wa Johari aibua maswali, wadau wanataka cheti cha mtoto

Hongera Johari

Sio lazima uanike maisha yako gazetini kila mtu ajue

Magazeti ya shigongo mmezid umbea lol

Wanataka cheti cha mtoto, mmh jaman hii kazi ya umbea ngumu kuliko wizi
 
Hongera johari kwa kupata mtoto tena hukutangaza hadharani ulikomesha wambea kweli. Tena hukupiga picha kujizalilisha utu wako na tumbo tofauti na wengine wanadhani kuonyesha tumbo ndo ustar.

Wengine wamejifungua uzazi wa nne lakini bado kujipiga picha nq mitumbo yao ilolegea kama matumbo ya viriba tumbo.
 
Wengine wamejifungua uzazi wa nne lakini bado kujipiga picha nq mitumbo yao ilolegea kama matumbo ya viriba tumbo.

Hahaaa tumbo limepelepetwa wewe bora hata ingekua uzazi wa kwanza ni uzazi unaozidi wa Tatu. Kujizalilisha tu yani nimemheshimu sana Johari. Hao wengine utafikiri ndo wanawake wa kwanza kuzaa.
 
poleni mliokuwa hamjui km ana mimba
halafu wanaodai cheti cha mtoto wao kina nani?
story nyingine ujinga mtupu...!!!
 
hapa wanataka tu kutengeneza mazingira ionekane kama ameadopt mtoto au, matomaso tupo wengi lakini ndio keshasema! kazaaaa
 
Ndo tetesi hizo sasa sijui ni kweli. Bongo hii kila kitu kinawezekana. Ukashangaa ni muheshimiwa.

Hahaaa ubunge atausikia tu huyo ni kichaa kma fans wake nani ampe huo ubunge wakti kutwa anatukana wa2 kafanya gpl ndio office yke
 
Johariii haujatenda haki kwa WAMBEA ilitakiwa useme mimba umebeba lini, utajifungua lini utuoneshe tumbo, nguo za mtoto na baby shower tuone ha ha ha hata sijapenda huo usiri
 
Mbona rahisi tu kutambua? Anamnyonyesha mtoto?

Yuko sauzi anauza k na mwenzie uwoya...azae wapii..akweeeendree zake huko
Hivi mtu ulikua una shidana mtt leo hii kazaliwa ht mwaka hana amuache..mara akalale hotel mara wapi..mara wapi
 
Agombee ubunge wa insta...vichwa maji wenzie ndio watampa...mtu na akili zake timamu ana mshabikia huyo mdudu.

Hahahaaa uko insta maisha yao wengi fekoro wanajua kupiga picha vyakula n kubinua mpododo kma masogange hata kiwanja cha 1m hawana....ila mwisho w huyu dada c mzuri elimu hamna kazi kupigwa mjafa 2
 
Hongera sana johari kumbe utu uzima dawa eeeh, mambo ni kiyakimya
 
Mwenzangu na tusubirie yu, labda viti maalum ila jimbo kama jimbo sidhani.

Na mimi nilitaka kusema labda anafocus viti maalum maana si katiba bado ile ile ya zamani. Hapo usikute anataka atangaze nia kugombea jimbo akijua ifika ataangukia pua, lakini kwa vile atakuwa ameonekana ni mwenzao anaweza onewa huruma akapewa viti maalumu. Nahisi ndo strategy yake
 
Back
Top Bottom