Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakua na kadi ya uanachama labda.
Shoga nimeskia Wema ana gombea ubunge.
Acha masihara labda ubunge wa kutukana wa2 maisha yke asijaribu siasa sio kuvua kyupi n kuzibuliwa mtaro
Hongera johari kwa kupata mtoto tena hukutangaza hadharani ulikomesha wambea kweli. Tena hukupiga picha kujizalilisha utu wako na tumbo tofauti na wengine wanadhani kuonyesha tumbo ndo ustar.
Shoga nimeskia Wema ana gombea ubunge.
Wengine wamejifungua uzazi wa nne lakini bado kujipiga picha nq mitumbo yao ilolegea kama matumbo ya viriba tumbo.
Ndo tetesi hizo sasa sijui ni kweli. Bongo hii kila kitu kinawezekana. Ukashangaa ni muheshimiwa.
wasipoonesha tunakosa cha kuongea buana lol...Wengine wamejifungua uzazi wa nne lakini bado kujipiga picha nq mitumbo yao ilolegea kama matumbo ya viriba tumbo.
Mbona rahisi tu kutambua? Anamnyonyesha mtoto?
Hahaaa ubunge atausikia tu huyo ni kichaa kma fans wake nani ampe huo ubunge wakti kutwa anatukana wa2 kafanya gpl ndio office yke
Agombee ubunge wa insta...vichwa maji wenzie ndio watampa...mtu na akili zake timamu ana mshabikia huyo mdudu.
Mwenzangu na tusubirie yu, labda viti maalum ila jimbo kama jimbo sidhani.
I see.........................Wengine wamejifungua uzazi wa nne lakini bado kujipiga picha nq mitumbo yao ilolegea kama matumbo ya viriba tumbo.