Mtoto wa Jose Chameleone: Baba yangu afya yake si nzuri, lakini waandaaji hawa wanaendelea kumualika na kumtumia kama chombo cha kuzalisha pesa

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Abba Marcus Mayanja, mtoto wa msanii maarufu wa muziki nchini Uganda, Jose Chameleone, kupitia ukurasa wake wa TikTok ameongea kwa hisia kubwa na mashabiki wa baba yake kuhusu changamoto za kiafya anazopitia baba yake kutokana na matumizi ya kupitiliza ya pombe (Addiction).

Katika ujumbe wake huo uliojaa hisia, Abba aliwataka wote wanaomjali Chameleone kuwajibika kwa kumpa msaada wa dhati ili kumsaidia kujinasua katika changamoto hizo.

“Hii ni kwa mashabiki na kila mtu anayefurahia muziki wa baba yangu. Hata kama humpendi, hata kama hukubaliani na mambo aliyowahi kufanya—hata mimi mwenyewe nakubali kwamba yeye ni binadamu mwenye mapungufu mengi. Lakini mwishowe, Mungu alituleta duniani kupendana,” alisema Abba

Abba alisisitiza umuhimu wa kushughulikia changamoto za Chameleone kwa huruma, akisema, “Huu si wito wa kuwakumbatia watu wanaopenda baba yangu aendelee kuwa mlevi. Ni wito wa msaada kwenu,tunahitaji kushirikiana kwa pamoja kumsaidia ikiwa aachane na hali hii.”

Soma Pia: Jose Chameleone: Hakuna msanii wa Tanzania na Kenya anayetufikia kwa Kuimba, wanabebwa na Mashabiki tu

Abba pia alikemea waandaaji wa Matamasha ambao wanaendelea kumualika Chameleone kutumbuiza licha ya hali yake mbaya ya kiafya.

“Ni jambo la kushangaza kuona watu wengine wakimuona binadamu anayefanya huku akiwa anapitia changamoto ya kiafya, lakini bado wanampa matamasha. Ni wazi kabisa kuwa baba yangu hana afya nzuri, lakini waandaaji hawa wanaendelea kumualika na kumtumia kama chombo cha kuzalisha pesa,” aliongeza Abba

Kuna dawa moja ya kumuachisha mtu ulevi akijaribu inaweza kumsaidia.
Ni hivi, unamchukua huyo mlevi akiwa ameshalewa na hajitambui. mnamvua nguo na mnamvunjia yai kwenye Olduvai Gorge na mnamlaza nje hadi kukuche, akiamka basi ataacha bila shurti.
Inaweza ikasaidia, ila wajaribu na tiba zingine. Lakini kuwalaumu waandaaji wa matamasha kumualika kisa anaumwa ingali yeye mwenyewe anakubali kwenda huo ni upuuzi. Huku kwetu Chid Benz anaumwa na anaalikwa na anaenda halafu poa tu.
 
😁😁😁 dah!
 
Kwa akili zako unaamini mtu mwenye addiction ataacha kwa kuvunjiwa yai matakoni!!!?.Nadhani hujui maana ya addiction,sio yai tu hata akikuta marinda wameyatatua ataendelea kulewa mpaka apate tiba sahihi.
 
Hio ya kupasuliwa yai ashafanyiwaga mtu, early 2000s jamaa akaishia kujua asubui iliofuta
 
Kwa akili zako unaamini mtu mwenye addiction ataacha kwa kuvunjiwa yai matakoni!!!?.Nadhani hujui maana ya addiction,sio yai tu hata akikuta marinda wameyatatua ataendelea kulewa mpaka apate tiba sahihi.
Na ndio maana nimesema inaweza kusaidia, kama haitofaa watafute tiba nyingine. Acha uvivu wa kusoma.
 
Abba Marcus Mayanja, mtoto wa msanii maarufu wa muziki nchini Uganda, Jose Chameleone, kupitia ukurasa wake wa TikTok ameongea kwa hisia kubwa na mashabiki wa baba yake kuhusu changamoto za kiafya anazopitia baba yake kutokana na matumizi ya kupitiliza ya pombe (Addiction).

Katika ujumbe wake huo uliojaa hisia, Abba aliwataka wote wanaomjali Chameleone kuwajibika kwa kumpa msaada wa dhati ili kumsaidia kujinasua katika changamoto hizo.

“Hii ni kwa mashabiki na kila mtu anayefurahia muziki wa baba yangu. Hata kama humpendi, hata kama hukubaliani na mambo aliyowahi kufanya—hata mimi mwenyewe nakubali kwamba yeye ni binadamu mwenye mapungufu mengi. Lakini mwishowe, Mungu alituleta duniani kupendana,” alisema Abba

Abba alisisitiza umuhimu wa kushughulikia changamoto za Chameleone kwa huruma, akisema, “Huu si wito wa kuwakumbatia watu wanaopenda baba yangu aendelee kuwa mlevi. Ni wito wa msaada kwenu,tunahitaji kushirikiana kwa pamoja kumsaidia ikiwa aachane na hali hii.”

Soma Pia: Jose Chameleone: Hakuna msanii wa Tanzania na Kenya anayetufikia kwa Kuimba, wanabebwa na Mashabiki tu

Abba pia alikemea waandaaji wa Matamasha ambao wanaendelea kumualika Chameleone kutumbuiza licha ya hali yake mbaya ya kiafya.

“Ni jambo la kushangaza kuona watu wengine wakimuona binadamu anayefanya huku akiwa anapitia changamoto ya kiafya, lakini bado wanampa matamasha. Ni wazi kabisa kuwa baba yangu hana afya nzuri, lakini waandaaji hawa wanaendelea kumualika na kumtumia kama chombo cha kuzalisha pesa,” aliongeza Abba
“Hii ni kwa mashabiki na kila mtu anayefurahia muziki wa baba yangu. Hata kama humpendi, hata kama hukubaliani na mambo aliyowahi kufanya—hata mimi mwenyewe nakubali kwamba yeye ni binadamu mwenye mapungufu mengi. Lakini mwishowe, Mungu alituleta duniani kupendana,” alisema Abba
 
Jose Chameleon anaumwa sana. Haijajulikana sawasawa ni nini kinachomsumbua ilwa kwa vile ana pesa ya kutosha, ataweza kupata matibabu mazuri tu. Ameondoka Uganda siku mbili zilizopita kwenda kutibiwa Marekani. Kwa utaratibu wa matibabu ya Marekani kama hana personal doctor atategemewa kukaa huko siyo chini ya miezi sita.
 
Na ndio maana nimesema inaweza kusaidia, kama haitofaa watafute tiba nyingine. Acha uvivu wa kusoma.
Sema huwa kuna dawa.
Nakumbuka kuna msela kitaa alikuwa chapombe mno, aliwekewa dawa kwenye pombe now ukitaka ukosane nae msogezee kilevi.
 
Serikali imsaidie tu legend maana hali kama ni tete gharama zitakuwa kubwa sana kwake.
 
Back
Top Bottom