Abba Marcus Mayanja, mtoto wa msanii maarufu wa muziki nchini Uganda, Jose Chameleone, kupitia ukurasa wake wa TikTok ameongea kwa hisia kubwa na mashabiki wa baba yake kuhusu changamoto za kiafya anazopitia baba yake kutokana na matumizi ya kupitiliza ya pombe (Addiction).
Katika ujumbe wake huo uliojaa hisia, Abba aliwataka wote wanaomjali Chameleone kuwajibika kwa kumpa msaada wa dhati ili kumsaidia kujinasua katika changamoto hizo.
“Hii ni kwa mashabiki na kila mtu anayefurahia muziki wa baba yangu. Hata kama humpendi, hata kama hukubaliani na mambo aliyowahi kufanya—hata mimi mwenyewe nakubali kwamba yeye ni binadamu mwenye mapungufu mengi. Lakini mwishowe, Mungu alituleta duniani kupendana,” alisema Abba
Abba pia alikemea waandaaji wa Matamasha ambao wanaendelea kumualika Chameleone kutumbuiza licha ya hali yake mbaya ya kiafya.
“Ni jambo la kushangaza kuona watu wengine wakimuona binadamu anayefanya huku akiwa anapitia changamoto ya kiafya, lakini bado wanampa matamasha. Ni wazi kabisa kuwa baba yangu hana afya nzuri, lakini waandaaji hawa wanaendelea kumualika na kumtumia kama chombo cha kuzalisha pesa,” aliongeza Abba
Kuna dawa moja ya kumuachisha mtu ulevi akijaribu inaweza kumsaidia.
Ni hivi, unamchukua huyo mlevi akiwa ameshalewa na hajitambui. mnamvua nguo na mnamvunjia yai kwenye Olduvai Gorge na mnamlaza nje hadi kukuche, akiamka basi ataacha bila shurti.
Inaweza ikasaidia, ila wajaribu na tiba zingine. Lakini kuwalaumu waandaaji wa matamasha kumualika kisa anaumwa ingali yeye mwenyewe anakubali kwenda huo ni upuuzi. Huku kwetu Chid Benz anaumwa na anaalikwa na anaenda halafu poa tu.

Kwa akili zako unaamini mtu mwenye addiction ataacha kwa kuvunjiwa yai matakoni!!!?.Nadhani hujui maana ya addiction,sio yai tu hata akikuta marinda wameyatatua ataendelea kulewa mpaka apate tiba sahihi.

Abba alisisitiza umuhimu wa kushughulikia changamoto za Chameleone kwa huruma, akisema, “Huu si wito wa kuwakumbatia watu wanaopenda baba yangu aendelee kuwa mlevi. Ni wito wa msaada kwenu,tunahitaji kushirikiana kwa pamoja kumsaidia ikiwa aachane na hali hii.”
Abba pia alikemea waandaaji wa Matamasha ambao wanaendelea kumualika Chameleone kutumbuiza licha ya hali yake mbaya ya kiafya.
“Ni jambo la kushangaza kuona watu wengine wakimuona binadamu anayefanya huku akiwa anapitia changamoto ya kiafya, lakini bado wanampa matamasha. Ni wazi kabisa kuwa baba yangu hana afya nzuri, lakini waandaaji hawa wanaendelea kumualika na kumtumia kama chombo cha kuzalisha pesa,” aliongeza Abba
“Hii ni kwa mashabiki na kila mtu anayefurahia muziki wa baba yangu. Hata kama humpendi, hata kama hukubaliani na mambo aliyowahi kufanya—hata mimi mwenyewe nakubali kwamba yeye ni binadamu mwenye mapungufu mengi. Lakini mwishowe, Mungu alituleta duniani kupendana,” alisema Abba
Jose Chameleon anaumwa sana. Haijajulikana sawasawa ni nini kinachomsumbua ilwa kwa vile ana pesa ya kutosha, ataweza kupata matibabu mazuri tu. Ameondoka Uganda siku mbili zilizopita kwenda kutibiwa Marekani. Kwa utaratibu wa matibabu ya Marekani kama hana personal doctor atategemewa kukaa huko siyo chini ya miezi sita.